Mashehe wa Bara Ongozeni harakati za kuupinga Muungano; Tanganyika isiidhulumu Zanzibar

Status
Not open for further replies.
MM,

Masheikh wa Tanganyika wapambane na mfumo kristo unaongozwa na kanisa katoliki kuendelea kuwakandamiza waislamu na fitna zinazozunguka. Masheikh za zanzibar wanatosha kuwatoa jasho nyie wafuasi wa kanisa katika suala la muungano hawahitaji masheikh wa kutoka Bara.
Kwani serikali ya umoja Zanzibar imeuepuka vipi huo mfumo kristo ulioko Tanganyika!
 
MM anachokoza mada ambayo inabidi utumie bongo kabla ya kuchangia. Ninavyomuelewa hapa anaonyesha kama ni halali kwa Masheikh wa Zanzibar kuongoza kuupinga Muungano,inakuaje Masheikh wa Tanganyika wako kimya? Wako kimya kwasababu wanachofanya wenzao wa Zanzibar ni kutumia dini ya Kiislamu kwa maslahi binafsi!
For sure hakuna nilikuwa namheshimu sana MMK na post zake lakini kwa hili heshima yako itaporomoka kama CCM
USHAURI WA BURE DELETE HII THREAD YAKO ULINDE HESHIMA YA POST ZILIZOTANGULIA NA ZIJAZO
 
hivi Zanzibar kuna mashamba ya Viazi?

Hivi Zanzibar wanazalisha umeme kiasi gani?

Tanganyika ina import nini kutoka Zanzibar?

Mtoto akililia wembe mpeni jamani.

Mkuu hapo umesahau kwamba wazenji wanaimport kutoka bara vitu kama nyanya, mbogamboga, vitanda vinavyotengenezwa pale Buguruni na bia za TBL/SBL. Hawa hawana madini kwa ujumla hatuna cha kupoteza kama huo Muungano utavunjika.
 
Mkuu wangu hivi Padre akisimama na kuanza kutetea ushoga na ndoa za jinsia mmoja utamuunga mkono?
Naona mapadre wamekukaa sana kwenye akili yako[Rejea bandiko lako namba 45 na namba 62],ndiyo maana mmeanza halakati za kuchoma makanisa ya Katoliki ili mpate fursa ya kuwazuru hao mapadri,kwani usito mfano wa shehe?
 
Pasco,

Kwani humfahamu Mwanakijiji ni mdini? Mbona hajasema Maaskofu wasaidieni masheikh wa zanzibar (tena ni baadhi na sio wengi) kudai na kupata wanachokitaka. Kwanini imekuwa of interest zanzibar mbona hazisemei fujo zilizotokea Mwanza mpaka misahafu ikachomwa moto na msikiti au kule waathirika ni waislamu? Huu ni uchochezi na fitina na hapo hampati zama za propaganda na ujinga zilishapita zamani siku hizi kila mtu mjanja na muelewe na nini unachotaka kukifanya.

Mdondoaji, Zanzibar kuna watu wa dini zote, japo waislam ni wengi (statistically) lakini wapo watu wa dini zingine pia, tena sio tu wakristo, wapo wahindu na hata zorostian. Kama issue ilikuwa "confided' kwenye muungano tu basi nilitegemea mihadhara iwe ya wanzanzibari na sio waislam.

Lakini kuna kitu kimoja nimekuwa najiuliza, hivi UAMSHO wanadai uhuru wa 'Jamhuri ya watu wa Wanzibar, au Serikali ya Mapinduzi Zanzibar? Kuna tofauti kubwa sana kati ya Jamhuri na Mapinduzi. Na hata sasa wako wanasheherekea siku ya Jamhuri na wengine Mapinduzi.
 
Mkuu,
Kwa mtazamo wako na kwa ustawi wetu kama Taifa,hivi ni kweli watanganyika wanawadhulumu wazenj? Nakubaliana na wewe kwenye hoja kwamba hatuna sababu ya kupalilia mbegu za chuki miongoni mwetu maana kama tukifanya hivyo ni sisi wenyewe ndio tutaadhirika.
Nisichoelewa mimi ni kwanini kila kitu kinafanywa kuwa ni "hila" za wakristu, hata kwenye mambo ambayo hayana uhusiano wowote na ukristu, na wanasiasa wengine wanafurahia kutupitisha kwenye hali hiyo?
Mjadala huu umekaa kichokozi na pengine kutaka kujua nani anafikiri nini!!! Nisichoelewa pia ni kwanini wanaopanda mbegu za chuki hawachukuliwi hatua yoyote? Does it mean they get a silent support?

Hapa hakuna swala la kudhulumiwa au kudhulimiana kuna swala la kuwataka "Mashehe" kuungana na Wazanzibari wauvunje Muungano.

Kwanini asiwatake Mapadri na Wakristo kufanya hilo? Waislaam wa Bara kupitia Mufti Simba wameshatoa tamko kuhusu yanayojiri.

Awape ushauri Mapadri na Maaskofu na wakristo wenzake. Hii ni fitna tena kubwa sana. Huyu jamaa anaishi nje ya Tanzania sababu anashindwa kuishi Tanzani kwa kuwa hana mafanikio hapa ndani, anajaribu kujitutumuwa na kujitakia umaarufu kupitia hii mitandao, na si kwa mema, bali kwa fitna na chuki, hususan yanapokuja mambo yanayo muhusu Muislaam.

Alisema humu weee kuhusu Richmond na Dowans na Rostam lakini mitambo hiyohiyo ilipofanywa kuwa ni ya Wamerekani na kukabidhiwa Wakristo, akaufyata.

Aliuliza maswali kwa Mohamed said akajibiwa kila swali ipasavyo akawa hana zaidi, akaingia kwa fitna ya kubadili aya za Qur'an. Yote hiyo ni chuki dhahir. Leo hii unaiona mada yake, kwanini asiwashauri Maaskofu na mapadiri? Mashehe wanamuhusu nini? hasali misikitini mwao wala hajui mafundisho yao. Aachane na hizi fitna na chuki za kijinga.
 
Kwani masheikh ni watu makini sana?

Mapadri na wachungaji ndio watu makini sana hata vitendo vyao vinaonesha umakini wao, nasikia kuna mmoja juzi kaweka picha za ngono za jinsia moja kuwaonesha watoto wa shule kwa bahati mbaya na hajui zilifikaje kwake. Yuko makini sana huyo, au unaonaje?
 
hao jamaa zangu naona wamekazania wanzanzibari hawautaki muungano, ni vizuri tu wangesema sisi jumuia yetu na wafuasi wetu hatuutaki muungano, kama wanzanzibari hawautaki muungano mbona wamekamatwa na kupigwa mabomu, wapo wanzanzibari wengiii mno wanaoutaka muungano, na kila mnzanzibari mwelevu anautaka muungano, mafuta mafuta, kuna nchi kibao zina mafuta na hakuna lolote. muungano unahusiana nini na dini?
 
Mdondoaji, Zanzibar kuna watu wa dini zote, japo waislam ni wengi (statistically) lakini wapo watu wa dini zingine pia, tena sio tu wakristo, wapo wahindu na hata zorostian. Kama issue ilikuwa "confided' kwenye muungano tu basi nilitegemea mihadhara iwe ya wanzanzibari na sio waislam.

Lakini kuna kitu kimoja nimekuwa najiuliza, hivi UAMSHO wanadai uhuru wa 'Jamhuri ya watu wa Wanzibar, au Serikali ya Mapinduzi Zanzibar? Kuna tofauti kubwa sana kati ya Jamhuri na Mapinduzi. Na hata sasa wako wanasheherekea siku ya Jamhuri na wengine Mapinduzi.

Kwani Waislaam hawana haki ya kuongelea katiba?
 
Hapa hakuna swala la kudhulumiwa au kudhulimiana kuna swala la kuwataka "Mashehe" kuungana na Wazanzibari wauvunje Muungano.

Kwanini asiwatake Mapadri na Wakristo kufanya hilo? Waislaam wa Bara kupitia Mufti Simba wameshatoa tamko kuhusu yanayojiri.

Awape ushauri Mapadri na Maaskofu na wakristo wenzake. Hii ni fitna tena kubwa sana. Huyu jamaa anaishi nje ya Tanzania sababu anashindwa kuishi Tanzani kwa kuwa hana mafanikio hapa ndani, anajaribu kujitutumuwa na kujitakia umaarufu kupitia hii mitandao, na si kwa mema, bali kwa fitna na chuki, hususan yanapokuja mambo yanayo muhusu Muislaam.

Alisema humu weee kuhusu Richmond na Dowans na Rostam lakini mitambo hiyohiyo ilipofanywa kuwa ni ya Wamerekani na kukabidhiwa Wakristo, akaufyata.

Aliuliza maswali kwa Mohamed said akajibiwa kila swali ipasavyo akawa hana zaidi, akaingia kwa fitna ya kubadili aya za Qur'an. Yote hiyo ni chuki dhahir. Leo hii unaiona mada yake, kwanini asiwashauri Maaskofu na mapadiri? Mashehe wanamuhusu nini? hasali misikitini mwao wala hajui mafundisho yao. Aachane na hizi fitna na chuki za kijinga.

Pole sana ndugu yangu. Kwa haya maandishi yako naona MMKJ, kama amekugusa sehemu inayokuumiza kweli kweli. Narudia tena, mbona baadhi ya watu wanapenda kuhusisha kila kitu ambacho wanakiona kinawasumbua na ukristu? Ukristu umeingiaje kwenye mitambo ya dowans? Maana rafiki mkubwa wa wamarekani sio mkristu. Hakuna safari nyingi za kwenda marekani zilizofanywa na viongozi waliopita kama kwenye awamu hii. Na ni awamu hii ndio ilimkaribisha pia Rais wa Marekani ndani ya ardhi ya Tanzania as a friendly country.
Ninachoendelea kujifunza karibu kila siku ni kwamba Mungu hana unafiki...mbona sisi tunapenda sana unafiki na double standard life halafu tunajificha kwenye vivuli vya udini?

Kwangu mimi, hakuna mtu atakayenidhulumu ila ntajidhulumu mwenyewe kwa ujinga wangu, kwa kukataa ushauri na kutopenda kujifunza etc maana kikulacho ki nguoni mwako!
 
NASISITIZA

Kiufupi huwezi kutenganisha kati ya muungano na mfumo kristo Tanzania.
ndio maana huwezi kuona faida yoyote ya muungano.

Yaani, muungano unafaida kubwa kwa kanisa kuliko serikali yake.

Unafikiri kwa nini makanisa na Baa zinachomwa?

Zina chomwa kwa sabababu ndio faida za muungano katika miaka 48 ya muungano, toa faida nyingine ya muungano zaidi ya hizo! na Watalii, a.k.a wakaa uchi.

Na wala Wazanzibari wasitishwe na hotuba za Nyerere, walioko huku tanganyika watapewa pasport kama wakenya waliopo Tanzania.
 
arifu watu wanakurupuka tu....hawajaona na kusikiliza hiyo klipu...alafu wengi humu wanarukia ku comment kitu bila kusoma kwa kutumia jicho la tatu......

Na mimi naona kuna tatizo. Watu wamesoma juu juu bila ya kutafakari kwa kina ni nini hasa MM anasema.
 
Sisiti kusema Mzee mwanakikiji Nimpumbavu hivi.

Viongozi wote maraisi na makamu zao bara na visiwani si wakristo
 
Nawasihi mashehe wa bara wafuate mfano wa wale wa Zanzibar; watuongoze kupinga Muungano ili Zanzibar iwe huru. Haiwezekani watu wa Tanganyika (wakiwemo mamilioni ya Waislamu) wawe wanawadhulumu Waislamu wa Zanzibar kwa kuendeleza Muungano. Tafadhalini mashehe kwa hili hata miye nitawaunga mkono!! Muungano umalizwe kusiwepo na dhulma, ukandamizaji na uonevu unaofanywa na Watanganyika (Waislamu kwa Wakristu) dhidi ya Wazanzibari!

Kabla hamjanirukia... there is a point am making...

Wachangiaji weengi wamepamiss hapo. Hapo tu panaonesha kuwa people don't read between lines, bali kwa kuona kichwa cha habari tayari wameshajua nini kinaongelewa, hisia binafsi zikateka fikra na kuanza kurusha maneno ya ajabu kabisa.

Hata hivyo MM, nasikia shehe Ponda alishakwenda huko Zenji kuongeza nguvu ya wazanzibari kuupinga muungano. Sielewi ni kwa vipi hakutumia waislamu wa Tanganyika ambao ndio wengi zaidi!

Mcheki hapa

Last edited by a moderator:
Naona mapadre wamekukaa sana kwenye akili yako[Rejea bandiko lako namba 45 na namba 62],ndiyo maana mmeanza halakati za kuchoma makanisa ya Katoliki ili mpate fursa ya kuwazuru hao mapadri,kwani usito mfano wa shehe?

Tatoaje mfano kwa Masheikh wakati hawafungishi ndoa za jinsia moja na wala hawatetei ushoga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom