Masharti ya mganga ili kumpata demu.

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
umeenda kwa mganga ili akusaidie kumpata demu unayempenda kisha anakupa masharti haya
''leta kucha za huyo binti alizokata kwa meno,nywele zake za kwapa na harufu yake. Nenda ukalete sabuni yake ambayo tayari ameogea kisha lete blauz anayovaa pindi anapozima taa na nyayo za miguu za marehemu babu yake. Na ucsahau kuleta jino lake lilong'oka lenyewe wakati akiwa mtoto. Ukikamililisha hayo ntakusaidia kumpata'
JE INGEKUWA WEWE UNGEWEZA?
 
Mkubwa mbn masharti haya yapo kwenye wimbo wa Sajna(mganga)? Au ndo joke nyingne?
 
mbona rahisi mkuu, si ndo atakuwa kanifundisha kutikuwa muoga na king'ang'anizi kwa huyo demu na huyo mganga hataniona tena kwake hata siku moja
 
Kwani lazima iwe huyo demu tu,
Mademu wako wengi tu, ni kuachana na mganga na huyo demu!!
 
Back
Top Bottom