Masharti ya Kuanzisha Shule ya Chekechea

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
nataka kuanzisha shule ya chekekea, ni masharti gani ya kisheria natakiwa kutimiza/wapi naweza kupata maelezo ya hizo requirements, nimejaribu kuangalia katika mtandao wa wizara ya elimu lakini hakuna maelezo haya
 
Lakini siyo lazima Wizarani
Nenda kwenye Halmashauri yako Onana na mtu wa Ustawi wa jamii na au Afisa Elimu wa wilaya
Siyo issue sana lakini kama target yako ni kuwa na kuendesha shule ya msingi kuwa wazi kwao,kwani wengi wanaanza na chekechea kwa malengo ya kuanzisha shule za engklish medium,kuna fomu fulani inaitwa namba 7 kitu kama hicho,Kama hauko kwenye Jijiji la shida(Dar) WEWE NENDA WILAYANI KWAKO tu
 
  • Thanks
Reactions: Kig
asanteni sana wadau, wachahe nitawaPM kwa msaada zaidi, hope you wont mind
 
Back
Top Bottom