Masharti mapya ya kozi za afya yatazamwe upya

Kwamba, madaktari wanaohitimu bugando na KCMC hawajui kazi ukiwalinganisha na wa MUHAS pindi wanapomaliza masomo yao?.

Au nimekuelewa vibaya?.
Mbn hata udom wanaosoma md wote ni pcb, kwa hiyo na wenyewe ni wazuri kuzidi wa cuhas?[/QUOTE]
Tusubiri majibu kwa ndugu yetu.
 
Siwezi kuzungumzia kairuki maana kidogo sina mazoea na chuo hicho nimeongelea vyuo ambavyo nina vijua na marafiki tuliomaliza nao wamepitia
Mimi nimemaliza form six CBG mwaka 2015 nikapata B ya chemia, bios, geog na bam. E ya gs, ila mwaka jana sikuomba mkopo na ila nilichaguliwa imtu nursing, kutokana na sababu ya mkopo sikuweza kwenda chuo. Ila mwaka huu nimeomba vyuo vifuatavyo
Cuhas-nursing
Kcmc-optometry
Kcmc- prosthesis na orthotics
St John's pharmacy na
Cuhas medical laboratory.

So siwezi kuchaguliwa kisa sina physics
 
Ila mbona guidebook ya mwaka huu haijasema haya mambo au lengo lao ni kutupoteza aisee?
 
Nikisikia high school moja,ilikuwa na Combination nyingi,mojawapo ikiwa cbg,wengi wao walikwenda SUA.Walisononeka Sana enzi hizo kwani walikuwa wakitamani Kwenda Muhimbili,kwa bahati Mbaya siku hizo Medical school ilikuwa 1 tu.Vyuo vinavyoadmit course za Life sciences (Kcmc,Cuhas etc) bila MTU kuisoma Physics high school sijui kama kwa central admission ya TCU itakubalika.Naamini kwamba qualifications za mwanafunzi Kufanya Life sciences Sharti ziwepo standard.Nakushauri Ufanye application SUA.
 
Hivi hili tangazo limetolewa lini na litatengeua guidebook ya mwaka huu? Basi tcu watupe guidebook mpya kwa form six
 
Back
Top Bottom