Masharo wanakoelekea

ney kush

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,373
851
Habari wana JF... Hivi usharobaro unaelekea wapi? Maana nimekutana na mtu anajiita sharobaro kavaa pedo lakini me najua pedo wanavaa dada zetu sasa nimeona nililete kwenu jambo hili huku sio kumuunga mkono david cameroon
 
Kuvaa pedo kwa mwanaume si sahihi. Haina tofauti na kuvaa sketi au gauni! Ingawa kuna vitu kama heleni ambavyo baadhi ya wanaume huvaa, ambao baadhi yao huwa wanapendwa kuitwa mashalobaro.

Kwa hii kesi ya kuvaa pedo, nafikiri ni uelewa mfinyu wa huyo shalobaro maana kumbuka kuwa masharo wengi si watu wenye elimu na uelewa wa kutosha. Ikiwa atakuwa amevaa hiyo pedo kwa makusudi, ni wazi kuwa atakuwa mwanachama wa huyo David Cameroun! :A S embarassed:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom