Mashangingi,v8,kilimo kwanza Nazani yameongezeka

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Huu ni mtazamo wangu tuu serikali ilikuwa ianze kutumia au kununua gari za bei nafuu kwa watumishi wake wa ngazi za juu. Sasa leo katika pitapita zangu posta nimeshangaa sana kuyaona ma v8 mengi na hizi namba za STK,STJ na SU kwani sikuizi wanaandika tuu request hata wasaidizi kupewa hayo nini manake nimeyaona mengi mpaka nikaogopa labda nilikuwa sioni vizuri.... Kunae anayejua nini kinaendelea au ulempango ulikuwa kiini macho cha magari ya bei nafuu.....Au mpaka iundwe katume/kamati?
 
Back
Top Bottom