Mashangingi na matumizi mabaya!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,256
DSC00737.JPG DSC00738.JPG

Nilifika hapa shangingi hili (jipyaa LC200), niliambiwa lilikuwa linaelekea Mwanza kupitia Arusha.

Jamaa alikuwa anapaa-literaly!

Kwenye kona kali pale Manga, alipaa, hadi kukwanyua mti wa TANESCO, kabla ya kutua kwa pua.

Hizo ni korosho zetu, kahawa zetu, pamba yetu na hata kodi zetu
 
hiyo gari ni yani?, mbona jujaweka namba za gari? magari mangapi yanaanguka huko highway kila siku? hakuna jipya!
 
hiyo gari ni yani?, mbona jujaweka namba za gari? magari mangapi yanaanguka huko highway kila siku? hakuna jipya!
Mkuu hilo gari ni STK*****, na kuangusha gari ya thamani ya Tshs millioni 300, mali ya umma, ukisema si jambo jipya mimi nitasema hiyo ni complacency at its worst.
 
Unahakika ni korosho na kahawa zenu, sio za misaada hizo gari?

Madamex, niruhusu nikushangae kwa mawazo uliyotoa.
Hivi? Mali usiyoigharimia basi unaweza kuifuja tu, mpaka anayekusaidia akome?
Kimsingi hayo ni mawazo ambayo ni irresponsible.
Hata waswahili walisema, meno ya mwenzio hata wali wa mchanga we unaswaga tu.
 
hATA kama ni msaada au mkopo ujue lazima tuzilipie sisi,watoto wetu na wajukuu zetu. Hao unaodhani wanatupa msaada walishasema 'there is nofree lunch' tunalipia dada na hii ndo inauma zaidi endapo matumizi na uendeshaji unakuwa mbovu
Unahakika ni korosho na kahawa zenu, sio za misaada hizo gari?
 
Kama devera amepona, ujue anarudi Dar mara moja kuchukua gari nyingine. Hii ndiyo Tanzania ambayo tuko busy sana kuijenga...Tanzania yenye watu wasiojua wanataka nini!!!!
 
Mkuu hilo gari ni STK*****, na kuangusha gari ya thamani ya Tshs millioni 300, mali ya umma, ukisema si jambo jipya mimi nitasema hiyo ni complacency at its worst.

Huo ni uongo Landcruiser GX V8 hata ya mwaka 2012 haijafika TZS million 300, uliipata wapi hiyo bei? Hata million 200 haijafika.

Huoni ajabu chadema kuuziwa na mwenyekiti wao fuso mtumba kwa TZS million 350?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom