Mashamba yanauzwa

tonny03

Member
Mar 3, 2011
44
1
mashamba yenye ukubwa kuanzia hekari moja na kuendelea,yanapatikana/yanauzwa maeneo ya msolwa chalinze barabara ya morogoro,kwa mawasiliano piga na:0717012656
 
mashamba yenye ukubwa kuanzia hekari moja na kuendelea,yanapatikana/yanauzwa maeneo ya msolwa chalinze barabara ya morogoro,kwa mawasiliano piga na:0717012656

Heshima yako mkuu ebu weka data vyema eg hekari moja ni bei gani,umbali toka barabara kuu,upatikanaji wa maji,mashamba yananunuliwa kijijini au Individuals etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom