Mashamba yanapatikana Kiwangwa

len

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
201
116
Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali kama ufuta, alizeti, mahindi, mtama, uele na viazi vitamu yanapatikana Kiwangwa. Bei ni TZS250,000/= kwa ekari. Unaweza kupata kiasi chochote unachohitaji. Pia unaweza ukapata mashamba yanayofaa kwa kilimo cha nanasi ingawa hayo bei inakuwa juu zaidi. Interested? nipm nikuelekeze
 
wakuu ki ukweli kiwangwa kuna mashamba tena ya kutosha...lakini bei aliyosema mkuu ni mashamba yaliyo ndani sana halafu pia ardhi yake haina rutuba..mashamba ya kupanda nanasi huwezi kupata heka moja kwa chini ya shilingi milioni mbili hv sasa...hilo lipo sehemu ya barabarani..tambua kuwa yanazidi kupanda bei kwasababu ya barabara ya lami inayotoka msata to bagamoyo kuanza kukamilika..ni sehemu nzuri sana ya kuwekeza kama unawajua wenyeji...

source:mimi mwenyewe namiliki karibu heka 50
 
Watu wengine bana,
Ukiweka tangazo hapa basi kuna mawili,
Aidha muda wako ni wa kuibia sana so unaweka na namba ya simu for prompt communica,

Otherwise unao muda mrefu sana wa kuingia hapa so no needs of phone number.

Sasa namba hamna,Jf huingii, what is this?? Sio poa namna hii. Halafu kutaja tu Kiwengwa kama vile kila mtu anaijua sio fresh. Taja japo mkoa tu ilipo kama wilaya na kata inakua ngumu!!
 
Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha mazao mbalimbali kama ufuta, alizeti, mahindi, mtama, uele na viazi vitamu yanapatikana Kiwangwa. Bei ni TZS250,000/= kwa ekari. Unaweza kupata kiasi chochote unachohitaji. Pia unaweza ukapata mashamba yanayofaa kwa kilimo cha nanasi ingawa hayo bei inakuwa juu zaidi. Interested? nipm nikuelekeze

Mimi nina shamba Kiwangwa na Fukayosi...kwa experience yangu na eneo lile....hakuna shamba linalouzwa hekari 1 Tshs 250,000/=!
 
Kama nilivyosema haya mashamba ni kwa ajili ya ufuta, mahindi, alizeti, mtama, uele na viazi vitamu, sio nanasi. Kwa ajili ya nanasi bei iko juu zaidi.
 
Kiwangwa iko Bagamoyo, mkoa wa Pwani. Ukitoka Bagamoyo ni barabara ya kuelekea Msata ambayo sasa inajengwa kwa kiwango cha lami
 
Watu wengine bana,
Ukiweka tangazo hapa basi kuna mawili,
Aidha muda wako ni wa kuibia sana so unaweka na namba ya simu for prompt communica,

Otherwise unao muda mrefu sana wa kuingia hapa so no needs of phone number.

Sasa namba hamna,Jf huingii, what is this?? Sio poa namna hii. Halafu kutaja tu Kiwengwa kama vile kila mtu anaijua sio fresh. Taja japo mkoa tu ilipo kama wilaya na kata inakua ngumu!!

Piga 0717 271871
 
Piga 0717 271871

Hapo sasa tumeelewana, ubarikiwe sana.
Mahindi yanalima?
Kuna documents gani zinazohalalisha umiliki kama nkinunua.

Otherwise, ngoja nipige hii namba.
 
Riwa,

Fukayosi ndio wapi mazee? na huko mazao gani yanastawi?

Jamani tuwe makini na Fukayosi, kuna watu walishanunua mapori siku nyingi huko,unaweza uziwa pori la Kigogo, Fukayosi imepata umaarufu ghafla,bei za pale Fukayosi zinabadilika sana kila siku,march nilipima shamba la mtu pale Fukayosi shule ya msingi ng`ambo ya pili kama mita mia nne hivi kuingia ndani, bei ilikuwa laki saba. July 5 nilifika tena kwa kazi hiyo hiyo, naambiwa eti ni milioni moja. Nikapima na kuondoka zangu.

Nilimshauri huyu kigogo asogee kijiji cha Mwavi, mbele ya kidogo kama unakwenda Msata.

Kwa nini Watz tunaumizana na hizi bei za ajabu ajabu?
 
Nina uzoefu na kijiji cha Mwavi (baadaya ya kupita Fukayosi ukitokea bagamoyo). Utapeli wa ardhi bado. Ukishapata sehemu na kuelewana bei unachukua afisa mtendaji wa kijij,mwenyekiti wa kijiji pamoja na wa Kitongoji ambao kimsingi wanapema hilo eneo na kuandikishana kwenye ofisi ya kijiji. Ni lazima ulipa 10% ya kijiji na unapewa risiti. Kwa Mwavi ni kijiji kipya na wanajenga ofisi na kwa vile unakuwa mwanakijiji mpya watakuomba uchangie ujenzi wa ofisi. Ni watu wazuri sana.
Mwavi kuna mashamaba ila yako ndani kidogo na yanacheza kwenye laki 4- 7. Kama unahitaji huko niambia nikupe no.ya simu ya mzee wa huko wakutafutie fasta.

Hapo sasa tumeelewana, ubarikiwe sana.
Mahindi yanalima?
Kuna documents gani zinazohalalisha umiliki kama nkinunua.

Otherwise, ngoja nipige hii namba.
 
Jamani tuwe makini na Fukayosi, kuna watu walishanunua mapori siku nyingi huko,unaweza uziwa pori la Kigogo, Fukayosi imepata umaarufu ghafla,bei za pale Fukayosi zinabadilika sana kila siku,march nilipima shamba la mtu pale Fukayosi shule ya msingi ng`ambo ya pili kama mita mia nne hivi kuingia ndani, bei ilikuwa laki saba. July 5 nilifika tena kwa kazi hiyo hiyo, naambiwa eti ni milioni moja. Nikapima na kuondoka zangu.

Nilimshauri huyu kigogo asogee kijiji cha Mwavi, mbele ya kidogo kama unakwenda Msata.

Kwa nini Watz tunaumizana na hizi bei za ajabu ajabu?

kaka unaonesha wewe mwenyeji sana, naomba contacts basi na mimi nikanunue kijishamba kini keep bize wikiendi
 
kaka unaonesha wewe mwenyeji sana, naomba contacts basi na mimi nikanunue kijishamba kini keep bize wikiendi

Unataka kulima au kufuga nini? Maana kulima kwa kutegemea mvua kwa ukanda ule ni kubahatisha,kama nguvu iko ni bora ukafuga na baadae uchimbe kisima chako. Hapo utakuwa na manure zako na hivyo unaweza kufanikiwa vizuri.
 
Back
Top Bottom