mashamba/viwanja kigamboni eneo halifikiwi na mradi wa bush

Ni shamba au kiwanja?
Umbali gani kutoka Kongowe Road?
Miundombinu ya Umeme, barabara, maji n.k ikoje?
 
Jamani, master plan imeshatoka?

kuhusu master plan cna uhakika since yale yalikua mapori na 2linunua kwa bei ndogo kama mpango wa serikali ya kijiji kupunguza mapori, eneo lipo kituo cha mwembe mtengu 3km frm main road ya kongowe karibuni.
 
Mimi nakushauri wewe kaka unayeuza hiki kiwanja /shamba kigamboni kwamba ingekuwa vyema wewe mwenyewe ukaenda Ardhi nakupata uhakika kwamba kiwanja au shamba liko katika eneo ambalo halina mgogoro
kwahiyo unapotangaza kuuza basi hata mnunuzi unamhakikishia kwamba hatapata shida yeyote
Asante ni ushauri tu
 
kuhusu master plan cna uhakika since yale yalikua mapori na 2linunua kwa bei ndogo kama mpango wa serikali ya kijiji kupunguza mapori, eneo lipo kituo cha mwembe mtengu 3km frm main road ya kongowe karibuni.

Nusu heka kwa Lugwadu bado sana,hapo mwembe mtengu mtafute dalali tall atakwambia nina hekari tano huko lugwadu,heka 1 lugwadu ni mil 1
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom