Mashairi- Wimbo:Cheusi Mangala

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,036
Huu wimbo una mashairi safi sana- I dedicate it to all JF Ladies

Chorus
Cheusi Mangala usibadili mwendo huo Mangala eehe Mangala eehe Binti Afrika

Verse
Kila kwenye chombo baharini kuna nahodha, nahodha wangu ni wewe mawimbi kuyakata chombo kisiende mrama tupate fika salama

Rudia chorus

Verse
Ninajisikia ninaposikia heshima na upole wako kwa watu wa pembeni usije kata tamaa tukose wakututetea

Kama kuna mtu anakumbuka mistari ya huu wimbo aendelee ila mashairi yake yametulia sana
 
Mungu ni pendo, apenda watu, Mungu ni pendo, anipenda....

Endelea...
Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda..
1.Akaja Yesu kunikomboa , yeye kanipa kuwa huru
......sikilizeni.....
2.Sababu hiyo, namtumikia, namsifu yeye siku zote
...sikilizeni
 
Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda..
1.Akaja Yesu kunikomboa , yeye kanipa kuwa huru
......sikilizeni.....
2.Sababu hiyo, namtumikia, namsifu yeye siku zote
...sikilizeni
duh kumbe watu mnakuwaga makini church mie kila nikiingia church nasinzia sijui mapepo
 
Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda..
1.Akaja Yesu kunikomboa , yeye kanipa kuwa huru
......sikilizeni.....
2.Sababu hiyo, namtumikia, namsifu yeye siku zote
...sikilizeni

Asante PJ, ubarikiwe sana!!:pray2:
 
Cheusi mwenyewe huyu hapa.....banned

attachment.php
 
Mimi naupenda huu uliotunga na Shaaban Robert mwaka 1957 na kuimbwa na DDC Mimani Park mwaka 1981

mtu chake apendacho
hakina hila moyoni
huridhika kuwa nacho
japo hakina thamani

mapenzi hayana kificho
yaingiapo moyoni mwangu
mwenye mapenzi haoni
ingawa macho anayo!
 
penzi langu kumpa yule Sophie
hilo msinilaumu
Penzi la fukara jama
halina thamani mbele za watu
 
....Siyo yeye peke yakeee
yeye ametanguliaaa
safari ni yetu soteee
hata paka jimmy pia utakwendaa tuuu!!!

Mnanda a.k.a mchiriku (omary omary)
 
duh kumbe watu mnakuwaga makini church mie kila nikiingia church nasinzia sijui mapepo

hha na juzi umesema ni mhudhuriaji mzuri wa church, ucpotokea kutatokea hitlafu kwenye misa, sasa kumbe ni mapambo tu...lol, ukitoka hapo ukiulizwa injili ilisemaje unakodoa macho huna ujualo....c uwe unachapa ucngizi tu!
 
Mimi naupenda huu:
......Penzi letu na Naomi ni fundisho maradufu kwa wale wapendanao, wasihadaiwe,
Nanyi mliko wazuri msikose msimamo, msijivunie uzuri na kuharibu tabia,
Hakuna (Nani) atakayekubali mapenzi ya kuchangia??

Ulipigwa na kuimbwa na DDC Mlimani Park, kwenye miaka ya mwanzoni mwa '90. Kama kuna anayekumbuka mashairi yake ayaweke hapa!
 
yah huo wimbo ulitungwa na Maxmilian Bushoke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom