Mashaidi wa kesi ya kupinga ubunge wa mh Lema wakimbia

Shahidi wajana dhidi ya wakili wa Lema Kimomogoro yalikuwa kama ifuatavyo Wakili Umesema maneno gani yamekuuma Lema aliyatamka? Shahidi Swala la kuolewa zanzibar liliniuma sana Wakili Umesema ilikuuma wewe hukutaka aolewe zanzibar? Haikukupendeza? Shahidi Mimi ilinipendeza ila Lema haikumpendeza kabisa Wakili Nani alikujulisha Lema haikumpendeza Batilda kuolewa zanzibar uliyatoa wapi? Shahidi kutokana na swali lako ndiyo maana nikakujibu hivyo baada ya mahojiana ya Kimomomgoro kumalizika alifuata wakili wa serekali Masanja kumuhoji shahidi kama ifuatavyo Wakili Umezaliwa wapi? Shahidi Karangai kata ya kibwe tarafa ya mbuguni wilaya ya Arumeru Wakili Leo wewe ni mkazi wa wapi hapa Arusha mjini Shahidi mkazi wa sokoni 1 mtaa wa makao mapya Wakili kwa hiyo wewe sio mkazi wa karangai siyo? Shahidi Ndiyo Wakili Nini kilisababisha usiwe mkazi wa karangai na sasa uwe mkazi wa sokoni1 Shahidi Nimeolewa Wakili Kwa hiyo kilichosababisha usiwe mkazi wa karangai na uwe leo mkazi wa asokoni 1 ni kuolewa siyo? Shahidi Ndiyo Wakili unamfahamu Dk Batilda? Shahidi Ndio ninamfahamu kwa kumwona kwenye picha Jaji Hujamuona ana kwa ana kwa macho tangu uzaliwe? Shahidi Sijawahi kumuona Wakili Pia unafahamu kwamba amoelewa? Shahidi Nasikia tu ameolewa Wakili Mume wake unamfahamu? Shahidi Simfahamu Wakili Unafahamu kwamba mume wake anaishi Zanzibar? Shahidi Sifahamu ila nimesikia kwamba anaishi zanzibari Wakili Ulipoolewa toka karangai ukahamia sokoni 1 Batilda alipoolewa akahamia kwa mume wake Zanzibar ni kosa? Shahidi Sio kosa Wakili Hivi kuolewa katika jamii ni sifa mbaya au nzuri? Shahidi Ni sifa nzuri Wakili Kwa hiyo mtu akisema Amina Ally ameolewa sokoni 1 atakuwa amekupo sifa mbaya au nzuri Shahidi Ni sifa nzuri Wakili Kwa hiyo mtu akisema Batilda ameolewa Zanzibar atakuwa amesema vibaya? Shahidi Atakuwa amesema vizuri

Ama kweli ukijipeleka kichwa kichwa mahakamani itakula kwako, lazima uumbuke tuu...
 
Ni vigezo gani hapo vitatumika kujua hao mashahidi wanatoa ushahidi wa uongo iwapo mashahidi watatoa ushahidi wa uongo ambao unafanana na ushahidi uliotolewa na wengine?halafa kwa ushahidi huo huo ukathibitisha kosa je hapo mashahidi wa uongo wanaweza kwenda jela? Wakuu wa sheria hapo inakaaje.
 
hivi hakuna kesi zingine zilizofunguliwa kupinga ushindi wa ccm popote??maana tunasikia hii ya Arusha, ile ya Ilemela na iliyokuwepo Kawe zote kupinga ushindi wa chadema, sikatai sheria kuchukua mkondo wake ila nataka kujua tu kama kuna kesi zingine na zimeshaanza au zinaanza lini anayejua anijuze!!
 
Ndio maana ya kuwepo kwa mawakili na hakimu mahamani kuchambua upi ukweli na upi uwongo kwa kusikiliza maelezo ya shahidi na kuangalia mazingira ya tukio, kusema uwongo ni kosa kisheria kumbuka shahidi kabla ya kutoa ushahidi anaapishwa na anakubali kusema kweli tena kweli tupu., sasa ikifahamika pasi shaka yoyote kuwa shahidi ameidanganya mahakama tena akiwa chini ya kiapo atahukumiwa accordingly!!
 
hivi hakuna kesi zingine zilizofunguliwa kupinga ushindi wa ccm popote??maana tunasikia hii ya Arusha, ile ya Ilemela na iliyokuwepo Kawe zote kupinga ushindi wa chadema, sikatai sheria kuchukua mkondo wake ila nataka kujua tu kama kuna kesi zingine na zimeshaanza au zinaanza lini anayejua anijuze!!

Kesi ya Segerea imeanza kuunguruma,na kesi ya Kigoma mjini wizi wa wazi wa Serukamba dhidi ya Ally Mleh inaanza mwezi huu
 
Kwani kesi zakupinga ubunge sizinakuwa na muda wake wakufunguliwa na kuisha??
 
Kwa hayo mahojiano yaliwekwa na Mgafilika basi hii kesi ni ze comedy.Ni yale yale ya kuhakikisha mbunge hapati muda wa kufanya kazi zake za kibunge na pia uwaziri kivuli wa mambo ya ndani

Mkuu Possibles ndiyo lengo lao kuu kumfanya Lema awebize na mahakama ashindwe kufanya kazi za kibunge kama alivyo chaguliwa na wananchi wake kwani hata kama Jaji ni ccm damu hiyo kesi hawezi kupindisha ukumu kwa hawa wajinga walio fungua yani Lema kazoea mahakamani kama sebleni kwake kanzia saa 3 asubuhi yupo mahakamani saa 6 mchana mapumziko saa saba nanusu wanarudi tena mpaka saa kumi na moja hata nyumbani kwakwe hajapazoea hivyo kama mahakamani
 
Mkuu mgafilika; niruhusu ni-edit post yako hapo juu:

Shahidi wajana dhidi ya wakili wa Lema Kimomogoro yalikuwa kama ifuatavyo:

Wakili: Umesema maneno gani yamekuuma Lema aliyatamka?

Shahidi: Swala la kuolewa zanzibar liliniuma sana

Wakili: Umesema ilikuuma wewe hukutaka aolewe zanzibar? Haikukupendeza?

Shahidi: Mimi ilinipendeza ila Lema haikumpendeza kabisa

Wakili: Nani alikujulisha Lema haikumpendeza Batilda kuolewa zanzibar uliyatoa wapi?

Shahidi: kutokana na swali lako ndiyo maana nikakujibu hivyo.

Baada ya mahojiano ya Kimomomgoro kumalizika alifuata wakili wa serekali Masanja kumuhoji shahidi kama ifuatavyo:

Wakili: Umezaliwa wapi?

Shahidi: Karangai kata ya kibwe tarafa ya mbuguni wilaya ya Arumeru

Wakili: Leo wewe ni mkazi wa wapi hapa Arusha mjini?

Shahidi: mkazi wa sokoni 1 mtaa wa makao mapya

Wakili: Kwa hiyo wewe sio mkazi wa karangai siyo?

Shahidi: Ndiyo

Wakili: Nini kilisababisha usiwe mkazi wa karangai na sasa uwe mkazi wa sokoni 1

Shahidi: Nimeolewa

Wakili: Kwa hiyo kilichosababisha usiwe mkazi wa karangai na uwe leo mkazi wa asokoni 1 ni kuolewa siyo?

Shahidi: Ndiyo

Wakili: Unamfahamu Dk Batilda?

Shahidi: Ndio ninamfahamu kwa kumwona kwenye picha

Jaji: Hujamuona ana kwa ana kwa macho tangu uzaliwe?

Shahidi: Sijawahi kumuona

Wakili: Pia unafahamu kwamba amoelewa?

Shahidi: Nasikia tu ameolewa

Wakili: Mume wake unamfahamu?

Shahidi: Simfahamu

Wakili: Unafahamu kwamba mume wake anaishi Zanzibar?

Shahidi: Sifahamu ila nimesikia kwamba anaishi Zanzibari

Wakili: Ulipoolewa toka karangai ukahamia sokoni 1, Batilda alipoolewa akahamia kwa mume wake Zanzibar ni kosa?

Shahidi: Sio kosa

Wakili: Hivi kuolewa katika jamii ni sifa mbaya au nzuri?

Shahidi: Ni sifa nzuri

Wakili: Kwa hiyo mtu akisema Amina Ally ameolewa sokoni 1 atakuwa amekupo sifa mbaya au nzuri?

Shahidi: Ni sifa nzuri

Wakili: Kwa hiyo mtu akisema Batilda ameolewa Zanzibar atakuwa amesema vibaya?

Shahidi: Atakuwa amesema vizuri

Jamani kwa mwenye uelewa wa sheria, hivi role ya wakili wa serikali kwenye kesi kama hii (za uchaguzi) huwa ni nini? Kidogo hoja zake zimeniacha kwenye dilema.

Mkuu ni sawa kabisa nisinge paswa kuku zui kuweka sawa kwani mimi nilifupisha kwani kunamahali nilikuwa na wahi asante mkuu kwakuweka sawa
 
Sina uhakika sana kiongozi,labda wenzetu wenye kujua ilo watujuze

Ngoja nuifuatilie halafu nitakujuza inakuwaga na muda maalumu wakuendesha hizi kesi kwani hii ya mh Lema inapaswa kuisha kwanzia sasa baada ya mienzi sita
 
shahidi haelewi role yake mahakamani kesi ya msingi haikuwa Lema kutopendezwa na ndoa ya BATLIDA kuolewa zanzibar bali kashfa za Mh Lema dhidi yake zilizompelekea kunyimwa kura na wana A town.kwa ushahidi huo unamuweka matatani huyo shahidi na anatakiwa afunguliwe kesi ya kutoa ushahidi wa uongo dhidi ya Kamanda G. Lema.
 
Shahidi wajana dhidi ya wakili wa Lema Kimomogoro yalikuwa kama ifuatavyo Wakili Umesema maneno gani yamekuuma Lema aliyatamka? Shahidi Swala la kuolewa zanzibar liliniuma sana Wakili Umesema ilikuuma wewe hukutaka aolewe zanzibar? Haikukupendeza? Shahidi Mimi ilinipendeza ila Lema haikumpendeza kabisa Wakili Nani alikujulisha Lema haikumpendeza Batilda kuolewa zanzibar uliyatoa wapi? Shahidi kutokana na swali lako ndiyo maana nikakujibu hivyo baada ya mahojiana ya Kimomomgoro kumalizika alifuata wakili wa serekali Masanja kumuhoji shahidi kama ifuatavyo Wakili Umezaliwa wapi? Shahidi Karangai kata ya kibwe tarafa ya mbuguni wilaya ya Arumeru Wakili Leo wewe ni mkazi wa wapi hapa Arusha mjini Shahidi mkazi wa sokoni 1 mtaa wa makao mapya Wakili kwa hiyo wewe sio mkazi wa karangai siyo? Shahidi Ndiyo Wakili Nini kilisababisha usiwe mkazi wa karangai na sasa uwe mkazi wa sokoni1 Shahidi Nimeolewa Wakili Kwa hiyo kilichosababisha usiwe mkazi wa karangai na uwe leo mkazi wa asokoni 1 ni kuolewa siyo? Shahidi Ndiyo Wakili unamfahamu Dk Batilda? Shahidi Ndio ninamfahamu kwa kumwona kwenye picha Jaji Hujamuona ana kwa ana kwa macho tangu uzaliwe? Shahidi Sijawahi kumuona Wakili Pia unafahamu kwamba amoelewa? Shahidi Nasikia tu ameolewa Wakili Mume wake unamfahamu? Shahidi Simfahamu Wakili Unafahamu kwamba mume wake anaishi Zanzibar? Shahidi Sifahamu ila nimesikia kwamba anaishi zanzibari Wakili Ulipoolewa toka karangai ukahamia sokoni 1 Batilda alipoolewa akahamia kwa mume wake Zanzibar ni kosa? Shahidi Sio kosa Wakili Hivi kuolewa katika jamii ni sifa mbaya au nzuri? Shahidi Ni sifa nzuri Wakili Kwa hiyo mtu akisema Amina Ally ameolewa sokoni 1 atakuwa amekupo sifa mbaya au nzuri Shahidi Ni sifa nzuri Wakili Kwa hiyo mtu akisema Batilda ameolewa Zanzibar atakuwa amesema vibaya? Shahidi Atakuwa amesema vizuri

Naweza kutoa hukumu wakati wowote nitakapohitajika kuhusu hii kesi.
Mwanzo nilikuwa sijui maudhui yake na sasa nimeshajua kila kitu.
 
Huu ni upotezaji wa muda na pesa bila sababu. Kesi hii ni ya kutunga kwa vigezo vyote.
 
Najaribu kutafakari siku hakimu atakapopiga kile kifimbo chini na kusema mshakiwa huna kesi na kesi imefutwa kutokana na kesi hii inaonekana ni kama kesi ya kusingiziwa! Sijui pale mahakamani patakuaje?
 
Yaaani pamoja na majibu kama haya ya shahidi hakimu bado anasikiliza kesi???

you tell me!!!
Kama sio upuuzi wa serikali ya ccm ni nini!!
What kind of a case is this?
Hawa wapuuzi kweli hawa!!

Hakuna kesi hapo.....and they will pay for this in a very near future!!
 
Shahidi wajana dhidi ya wakili wa Lema Kimomogoro yalikuwa kama ifuatavyo Wakili Umesema maneno gani yamekuuma Lema aliyatamka? Shahidi Swala la kuolewa zanzibar liliniuma sana Wakili Umesema ilikuuma wewe hukutaka aolewe zanzibar? Haikukupendeza? Shahidi Mimi ilinipendeza ila Lema haikumpendeza kabisa Wakili Nani alikujulisha Lema haikumpendeza Batilda kuolewa zanzibar uliyatoa wapi? Shahidi kutokana na swali lako ndiyo maana nikakujibu hivyo baada ya mahojiana ya Kimomomgoro kumalizika alifuata wakili wa serekali Masanja kumuhoji shahidi kama ifuatavyo Wakili Umezaliwa wapi? Shahidi Karangai kata ya kibwe tarafa ya mbuguni wilaya ya Arumeru Wakili Leo wewe ni mkazi wa wapi hapa Arusha mjini Shahidi mkazi wa sokoni 1 mtaa wa makao mapya Wakili kwa hiyo wewe sio mkazi wa karangai siyo? Shahidi Ndiyo Wakili Nini kilisababisha usiwe mkazi wa karangai na sasa uwe mkazi wa sokoni1 Shahidi Nimeolewa Wakili Kwa hiyo kilichosababisha usiwe mkazi wa karangai na uwe leo mkazi wa asokoni 1 ni kuolewa siyo? Shahidi Ndiyo Wakili unamfahamu Dk Batilda? Shahidi Ndio ninamfahamu kwa kumwona kwenye picha Jaji Hujamuona ana kwa ana kwa macho tangu uzaliwe? Shahidi Sijawahi kumuona Wakili Pia unafahamu kwamba amoelewa? Shahidi Nasikia tu ameolewa Wakili Mume wake unamfahamu? Shahidi Simfahamu Wakili Unafahamu kwamba mume wake anaishi Zanzibar? Shahidi Sifahamu ila nimesikia kwamba anaishi zanzibari Wakili Ulipoolewa toka karangai ukahamia sokoni 1 Batilda alipoolewa akahamia kwa mume wake Zanzibar ni kosa? Shahidi Sio kosa Wakili Hivi kuolewa katika jamii ni sifa mbaya au nzuri? Shahidi Ni sifa nzuri Wakili Kwa hiyo mtu akisema Amina Ally ameolewa sokoni 1 atakuwa amekupo sifa mbaya au nzuri Shahidi Ni sifa nzuri Wakili Kwa hiyo mtu akisema Batilda ameolewa Zanzibar atakuwa amesema vibaya? Shahidi Atakuwa amesema vizuri
Kama ndivyo ilikuwa hivi kweli hawa mashaidi ni wakuokoteza amebanwa hadi akajiona bure kabisa.
 
Back
Top Bottom