hatupoo! tumelala na tumekubaliana leo kutokuamka siku nzima!Kwanini Jamaa aliamua kuwaonesha hii kitu???View attachment 39743
huyu bolateli..lol! Kafunga magoli yote kimadharauuu.
Kuteleza si kuanguka,lazima tulipize kisasi tena huko huko kwao
Hivi kwanini mashabiki wa timu zote wanaichukia manchesita?
You will never walk alone.Hapa kitaa sisi mashabiki wa Liverpool, tulitoa kreti 3 za soda. kusheherekea