Mashabiki wa arsenal bwana...!! Kaaaaazi kweli kweli.

kajukeg

Member
Jul 22, 2010
39
0
Taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari usiku wa jana, kuwa mlinzi wa kimataifa wa Hispania na beki wa kutumainiwa wa bacelona Cales PUYOL amesema kuwa amefanya mazungumzo na kiungo wa kimataifa wa Hispania na ARSENAL CESC Fabriagas na fabrigas kuweka bayana kuwa hataondoka kwa washika bunduki hao london msimu huu.

taarifa hii imewafanya mashabiki wa arsenal kupatwa na kiwewe utafikiri tayari wametwaa ubingwa wa ulaya.
 
Back
Top Bottom