Masha yuko Njema sana

Hili giza linanifanya niwe na hasira sana! Kumbuka hata beer baridi tunaweka kwenye ndoo za maji
Umetaja beer baridi umenifanya nami nichukie maana pale Grocery ya mama Kijogoo siwezi kuzikuta maana hana generator na mabia yooote ya moto. ahhh!
 
nani aliwahi kusema hayuko happy?? Kwani nani aliyemfitini kama siyo yeye mwenyewe?? kuwa na furaha au kutokuwa na furaha kwa huyo naona kama hayatuhusu,,,, kuna mambo mengi ya kujadilio
 
Nyepesi nyepesi zinasema amepangiwa ukuu wa mkoa Dar. nasikia wanatangazwa anytime
huyu jamaa hahitaji ukuu wa mkoa wala wizara.... he is better than ever mazee

kama unamjua usingesema haya, he has placed himself in a lifetime fortune
 
Nadhani he is happy than ever before in his life. Anaishi vizuri, majumba, magari na uhuru wa kutosha. Ukimwona sasa mara nyingi ana smile tofauti na zamani alikuwa tense sababu ya stress za kazi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Najua wengi wana chuki binafsi naye but this one dude is doing good, believe that. Way to go Masha............................
Haya ndiyo yanasababisha viongozi wanakuwa mafisadi.Yani kuwa anaishi vizuri na kuwa na majumba na magari ndo sifa ya kuwa "njema" baada ya kulwa kiongozi wa kitaifa,then mnatagemea wanaoingia madarakani wawe na mawazo gani?Jamii yetu kweli kwishne.Sasa nani alisema kazi ya uongozi Tanzania inahitaji smiles all the time?Kuongoza Tanzania ni kazi ngumu na ya kujitolea inayohitaki sacrifices.Tena naamini malipo mazuri yanabadili nia ya kuwa kiongozi kwenye nchi masikini kama yetu!Kuachia madaraka na kuwa na mali ndo the way to go?

Tafadhali ndugu usituletee upupu humu ndani kwa akili yako kiduchu kama funza!Unaliganisha uongozi na mali na kwamba mali ndo matokeo mazuri ya uongozi?

Nasikia kutapika,ntarudi baadae,kichefu chefu kimenizidia..Aaagh!
 
huyu jamaa hahitaji ukuu wa mkoa wala wizara.... he is better than ever mazee

kama unamjua usingesema haya, he has placed himself in a lifetime fortune
Pesa bila Madaraka hakuna raha Bongo, Trust me Ninamjua Lau moyoni Mnyonge kweli anajua ameblow his chances, sasa hivi Ubunge Nyamagana sasa hivi kuna CCM 12 wanautaka 2015 na ni vijana na ni wasomi pia na wamekulia pale Mwanza Mjini na Wanapesa toka enzi za Nyarugusu... before foreign companies starting mining GOLD in Geita.
 
Masha wewe ni aibu kwa vijana. Pamoja na kukaa Marekani umeenda bongo badala ya kuleta mabadiliko umekuwa fisadi na mtu wa kushinda baa kutafuta wamawake!!!. Kuna wanawake wangapi US bro!. Umetia aiubu sana na kuzuia nafasi za vijana wengi sana ambao wewe ungeweza kuwa Mlango wa Generation mpya. Umekuwa mtu wa ego tu bila kuonyesha chochote, wewe umebomoa badala ya kujenga kwa utoto wako. Vijana wengi wasomi wanaotokea Marekani hawapo kama wewe!!. You need to go to hell bro!
Thanks for the truth.
 
mkuu hapo umekosea

basi bakhresa angeomba urais kama pesa bila madaraka hakuna raha bongo

believe me, many rich people who are not politician live a happier life... umeshawahi kumsikia mtu anaitwa iqbal wewe?? ana heka laki moja kigamboni ninyi mmekaa mnagombana na halmashauri kwa viwanja elfu moja vya robo eka-eka kinyerezi.... That person invites the bigshots for soda na chai

Masha has a huge path that probably would lead to about 5 generations of his genes to live happier than most politicians
 
Masha wewe ni aibu kwa vijana. Pamoja na kukaa Marekani umeenda bongo badala ya kuleta mabadiliko umekuwa fisadi na mtu wa kushinda baa kutafuta wamawake!!!. Kuna wanawake wangapi US bro!. Umetia aiubu sana na kuzuia nafasi za vijana wengi sana ambao wewe ungeweza kuwa Mlango wa Generation mpya. Umekuwa mtu wa ego tu bila kuonyesha chochote, wewe umebomoa badala ya kujenga kwa utoto wako. Vijana wengi wasomi wanaotokea Marekani hawapo kama wewe!!. You need to go to hell bro!

Now hapa kamundu ndio umeongea, it is not about him being rich, happy or a successful politician... it is about him blowing chances of many Tanzanians walio vijana especially nje ya nchi (he is financially better, yes, but was that his main purpose to return home?), he has not lost his business yes, but we wanted a prospect politician). Hilo la pombe na wanawake............. duh, aisee, no comment

I like this way of analysis na sio kuongea kama tupo sokoni
 
mada za kijinga kama hizi zinakaa hadi miaka minne, lakini mada sensitive na za maendeleo kwa taifa hazikai hata wiki moja... wakiguswa tu basi utakuta haipo

haya bhana
 
Masha ni mpenda sifa , mchonganishi na anajua kujipendekeza kuliko kufanya kazi, kwa wasiomfahamu watamsifia nitashangaa kama atapewa nafasi yeyote waulize TOL GASES LTD mpaka leo haijasimama 'DEDE'............
 
hivi mambo yenu ya chumbani na masha mpaka na sisi utuambie??..oh..ana mvuto..............upi???, oh..alikuwa na stress......zipi?.
Nyie kama mnapendana..pendaneni tu..
 
Masha ni mpenda sifa , mchonganishi na anajua kujipendekeza kuliko kufanya kazi, kwa wasiomfahamu watamsifia nitashangaa kama atapewa nafasi yeyote waulize TOL GASES LTD mpaka leo haijasimama 'DEDE'............

hizi tabia zinawadhalilisha ndugu zetu wasukuma,huyu jamaa ni takataka hafai hata chembe
 
Back
Top Bottom