Masha yuko Njema sana

So what!!??
Kwani zama hizo akiwa tensi alkua kalazimishwa!!??
Halafu......Kakutuma uje utuambie???
Sasa wewe mama mbona upendo zero? huku chini umeweka eti pendaneni kama vile nilivyowapenda. Huyu ni kiongozi mstaafu bado ni kioo cha Taifa kama anafanya vyema ni heshima kwa Taifa pia.
 
Lengo lako kuleta hii ni nini?!!
Unamfanyia kampeni au!!! Ile ngumi aliyotwanga na yule mwanahabari amepona na kuweka meno ya spare! Haya hutaki tujue eti
Wacha kutangaza mambo ya uongo ww, ngumi gani kapigwa?? Wananzengo mbona mnakuwa hivyo lakini?
 
Sasa wewe mama mbona upendo zero? huku chini umeweka eti pendaneni kama vile nilivyowapenda. Huyu ni kiongozi mstaafu bado ni kioo cha Taifa kama anafanya vyema ni heshima kwa Taifa pia.

Hahahahaha lol! eti Kiongozi mstaafu!!!! alitangaza lini kwamba anastaafu uongozi?
 
it sounds as if you are in love with him,or my be you are his nyumba ndogo,acha kusifia mali ya mtu,huo mvuto anao kwako sio sisi.to hell with you and ya masha.you spoiled my day.trush.
 
Nadhani he is happy than ever before in his life. Anaishi vizuri, majumba, magari na uhuru wa kutosha. Ukimwona sasa mara nyingi ana smile tofauti na zamani alikuwa tense sababu ya stress za kazi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Najua wengi wana chuki binafsi naye but this one dude is doing good, believe that. Way to go Masha............................

Salimia,

Nani kakwambia unaishi vizuri kwa kuwa na majumba na magari? Japo sina uhakika, lakini ninadhani Kaka Masha yuko very frustrated kwa kukosa power, recognition na esteem. Kutoka Uwaziri wa Mambo ya Ndani (Wizara Nyeti sana!) to a mare citizen, lazima binadamu yeyote wa kawaida utaifeel tu. Kwa sababu Kaka Masha ni kijana mwenye smile always, huwezi jua maumivu aliyonayo moyoni hasahasa anapomuona Mh. Wenje akiwasilisha pale Mjengoni.....

Ikumbukwe pia, Kaka Masha aliishaanza speed ya Urais wa 2015 kwa kukosa kiti cha Ubunge cha Nyamagana amekosa platform ya kutimiza azma yake!

Ninawasilisha!
 
it sounds as if you are in love with him,or my be you are his nyumba ndogo,acha kusifia mali ya mtu,huo mvuto anao kwako sio sisi.to hell with you and ya masha.you spoiled my day.trush.
Au na wewe nyumba ndogo nyingine nini?? mbona uko bitter sana??
 
Nadhani he is happy than ever before in his life. Anaishi vizuri, majumba, magari na uhuru wa kutosha. Ukimwona sasa mara nyingi ana smile tofauti na zamani alikuwa tense sababu ya stress za kazi. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Najua wengi wana chuki binafsi naye but this one dude is doing good, believe that. Way to go Masha............................

kazana kujaza upupu hapa .Hivi mods siku hizi hamfanyi kazi ya kuwapumzisha wapuuzi wa jamvini ? Maana wanatuondoa kwenye hoja kila mara na wana jaza server hawa.
 
Dudete it seems u have an affair with him and you are not belive he is no longer in power,which make you feel bad so you want to sympathy with us ,to feel sorry with him . Masha is useless Dude (figure) in this country
 
Masha wewe ni aibu kwa vijana. Pamoja na kukaa Marekani umeenda bongo badala ya kuleta mabadiliko umekuwa fisadi na mtu wa kushinda baa kutafuta wamawake!!!. Kuna wanawake wangapi US bro!. Umetia aiubu sana na kuzuia nafasi za vijana wengi sana ambao wewe ungeweza kuwa Mlango wa Generation mpya. Umekuwa mtu wa ego tu bila kuonyesha chochote, wewe umebomoa badala ya kujenga kwa utoto wako. Vijana wengi wasomi wanaotokea Marekani hawapo kama wewe!!. You need to go to hell bro!
 
Hiyo ni personal vendetta Mr. K. Can you prove your allegations towards the dude? Grow up!!
 
Back
Top Bottom