Masha na wabunge wastaafu washtakiwe!!!

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Kama ni mkweli kila mbunge hupokea Tsh 500,000 kwa mwezi kwa ajili ya shughuli za jimbo ikiwemo kununua vifaa vya ofisi ya mbunge, iweje yeye na wenzie waondoke na vifaa vyote hadi picha na vitasa wakati ni mali ya umma??

Kumekuwa na wimbi la wabunge wapya kukabidhiwa ofisi tupu bila vifaa na wabunge walioshindwa uchaguzi, hamna hata nyaraka za mbunge aliepita, sasa huyu mbunge mpya ataanzia wapi??. Sijui ni kukomoana na ndio desturi.

Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi na kama wamefuja hizo 500,000 washtakiwe.
 
Back
Top Bottom