ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 232
Kweli raia wema wana mkamata mwalifu wanampeleka kwenye vyombo vya sheri kisha mahakama inamuhukumu kutoa faini ya shilling 5000 tena. Mgeni anachana pesa yetu ambayo ndio harama ya Taifa kisha anapewa fain ya pesa kido je hao walio mkamata wakisikia kuwa jamaa kaachiwa hv kweli polisi jamii inatia moyo raia je waziri wa fedha akisikia kweli atakubal.....badO safari ndefu ila poa hii nchi inavyopelekwa siyo kabisa.