Masha atoweka na samani za ofisi ikiwemo picha ya rais!

Mkuu, siamini kama huuu ndio ushauri unaoweza kutoka kwako, nadhani hujaisoma vizuri comment yako, hebu i-review!!
ni comment yangu mkuu....

sometimes we have to take a mickey out of the situation hadi tujue kama aliweka yeye au la; pia ni vizuri kupata facts kwani bongo waweza zushiwa chochote

KUMBUKA KUNA MTU ALISEMA MASHA KAKIMBILIA MAREKANI NA NAFASI YAKE IMMMA KAMUACHIA MTOTO WA KARUME
 
Siku ukiachika na wewe chukua wanao, muache kama ulivyomkuta!!!!
 
Kwa tabia hii uliyoonyesha Masha hufai kuwa hata balozi wa nyumba kumi, huna hata shukrani kwa watanzania waliokuamini na kukupa hadi uwaziri, vitu vidogo kama hivyo vinakutoa amani kiasi hicho?mnaambia wezenu wachangie ujenzi wa madarasa, zahanati, lkn wewe hivyo vitu hata milion 2 hazifiki unaenda kuong'oa mpaka vitasa? kweli hizi ni siasa za uhasama, ungekuwa umemhonga demu ungevidai vitu vyako? ACHA UTOTO, LAKINI NDO MAWAZIRI WA JK HATA YEYE AKITOKA ATASEMA TV YA IKULU NILIWEKA MIMI NAYE ANAWEZA KUONDOKA NAYO
 
Anaendeleza tabia ya wizi aliyokuwa akifanya wakati akiwa Waziri wa mambo ya ndani.


Hasidi haachi Asili
 
Just imagine, of all the things! hata kitasa, zulia (used) du? And this is the guy we were told have all the credentials to make things happen like neva before!!! Ndiyo maana watu humu wanapoimba imba humu Januari, Januari I completely dobt if he's an exception.
Nyambala, kwa vile amevinunua kwa fedha zake za mfukoni, basi anavyo haki navyo maana ni jasho lake, lakini hili la kufikia kungoa hadi vitasa, ni umasikini wa roho. Hapa anatuaibisha Wasukuma, ni kabila la watu ambao ni matajiri sana wa roho, hatuna roho za kimasikini na ile roho ya kwanini.

Kwa waliosoma ile tamthilia ya 'Song of Lawino' mwandishi alisisitiza sana from time to time "The Pumpkin of the old homestead must not be aprooted", akimaanisha ukihama makazi, sio lazima ungoe mpaka maboga ambayo kwa kuyang'oa yatakufa na hatakufaidia chochote huko uendako kwenye makazi mapya.

Lets give Mh.Masha the benefits of doubt kuwa hali yake ya kiuchumi ni mbaya sana kwa sasa, hivyo amekosa fedha za kununulia kitasa kwenye makazi yake, na kwa vile kitasa kile alikinunua yeye kwa fedha yake, bora akaking'oe na kukipachika kwake, sambamba na lile zulia, then he is right.
 
Huyo kaaga jumla,kwa mtindo huo inamaana ya kuwa hatagombea tena Ubunge 2015
 
Lets give Mh.Masha the benefits of doubt kuwa hali yake ya kiuchumi ni mbaya sana kwa sasa, hivyo amekosa fedha za kununulia kitasa kwenye makazi yake, na kwa vile kitasa kile alikinunua yeye kwa fedha yake, bora akaking'oe na kukipachika kwake, sambamba na lile zulia, then he is right.


yaani hiyo ndiyo benefits of the doubt?
 
Kwani angemsubiri Wenje wakakabidhiana kiungwana tu ingekuwaje?Si ndio ukomavu wa Siasa huo?.....ameonyesha utoto sana huyu Lau
 
Hii njaa itatupeleka kubaya...........Mtu kama Masha samani za ofisi sio big deal kiivo....sema roho mbaya na jealous zisizo na msingi...ukipiga mahesabu samani za ofisi hazizidi 2M. kama alikua anahitaji sana hiyo pesa angekaa mezani na Wenje wakanegotiate jamaa akamrefund kibingwa..............Yaani sijui amewaza nini hado kujishushia hadhi kiasi hiki.........
 
That shows his ego.For a person who saved in a senior positon like him, he should not do such a barbaric behaviour, that could be done by "Mla unga".
I hope he didn't thought it could take such a move. That is types of leaders we have. Masha is not alone, I know one Senior person after resigning, he took all funiture in the govenment house, TV and others. I hope he learned from that leader because their close friends.
 
Hata hizi atasema ni zake binafsi

13.jpg
 
Back
Top Bottom