Masekelo shinyanga wamemuonyesha Anna Kilango kuwa CCM haitakiwi

Hakuna mwanaccm mwenye akili timamu anayeweza kwenda kusikiliza upuuzi, ila tushinda Igunga na chaguzi zote zinazotukabili kwasababu kuu tatu
1. Rushwa itafanya kazi yake, hili ni jambo ambalo CCM tunalimudu sana hatuna sera za kuuza kwa wanachi
2. Kile chama ambacho kinajidai cha upinzani ( CUF) kipo sio kugombania ubunge bali kipo kugawanya kura za upinzani
3. CCM kwa kushirikiana na vyombo vya dola yaani jeshi, polisi na idara ya usalama wa Taifa vitafanikisha kwa hali na mali kuhakikisha uchaguzi si huru na wa haki.

Chama
Gongo la Mboto DSM.

Mhhhhhhhhhhhhh

HUMU JF SIKUHIZI HATA AKIPITA NZI WATU WANAANZA KUPIGA CHAFYA CHAAAAAAAA,!!!!! HIVI HII STORI ISIO NA SOURCE WALA MASHIKO NAPO WATU WANATUNA SHINGO ETI WANAJADILI HOJA???? masikini magwandaaaaa

sitegemei eti anayeitwa kiongozi ndio anajibu hoja hivi... Poor Nape!

Mhhhhhhhhhhhhh

HUMU JF SIKUHIZI HATA AKIPITA NZI WATU WANAANZA KUPIGA CHAFYA CHAAAAAAAA,!!!!! HIVI HII STORI ISIO NA SOURCE WALA MASHIKO NAPO WATU WANATUNA SHINGO ETI WANAJADILI HOJA???? masikini magwandaaaaa
Mkuu Nape, kwanza nakushukuru tena na tena kila unapojitokeza kujibu hoja humu jamvini.

Kwa vile muanzisha thread amedai eti mkutano wa CCM haukufikisha hata watu 40, kila wenye akili timamu wanaelewa hii sio kweli.

Ushauri wangu kwako, huna sababu kujibishana na watu wa aina hii tena kwa lugha zile zile za kuitana Magwandaaaa kucounter Magamba, utaonekana na wewe akili yako inafanana na hao unaojibishana nao!.

Ziko hoja za msingi kuhusu CCM humu ambazo huwa zinaibuliwa na wajf makini. Nakushauri ndio uwe unajitokeza kujibu hoja zilizoenda shule na hizi hoja nyepesi nyepesi wewe zipotezee tuu ila ziweke kwenye reference kwani zitajipangua zenyewe kwa matokeo ya mwisho.

Humu jf kuna wafuasi wa vyama vya siasa na kuna ma fanatics wa vyama fulani, ukizijibu hoja nyepesi nyepesi za mafanatics nawe utaonekana ni fanatic tuu wa upande wa pili wakati kuihalisia wewe ni mheshimiwa sana!.

Huu ni ushauri tuu sio lazima uufuate.

Pasco

Hahahahahahahha wewe kazi wanayo magamba na ikifika 2014 utaona wengi watakuwa wameshaanza kuchanganyikiwa maana wanategemea sana tunguli ili mambo yao yaende

Mhhhhhhhhhhhhh
HUMU JF SIKUHIZI HATA AKIPITA NZI WATU WANAANZA KUPIGA CHAFYA CHAAAAAAAA,!!!!! HIVI HII STORI ISIO NA SOURCE WALA MASHIKO NAPO WATU WANATUNA SHINGO ETI WANAJADILI HOJA???? masikini magwandaaaaa

Hahahaha! Hivi wewe ni kiongozi au? Unatupa picha gani hapa? Yahani wewe tunategemea ndo uwe mshauri wa Rais kweli utamshauri nini sasa? Ha Ha ha ha aaaaa, na tutakupeleka mchakamchaka humu mpaka siku uje uropoke matusi hahahahah, naonaga hata kwenye wall yako ya facebook unapost utumbo tupu! Wewe achana na CDM hutaiweza Nape, CDM maji marefu na utaiangalia hivyohivyo wala hata tone huingii. Wewe ni bora ukaacha siasa maana kinywa chako hakina hekima kabisa.

Sasa kesho mtakuta huyu ndo anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya ama mkoa lol tumeishiwa watu ama?

CCM sasa hivi wamefikia steji ambapo kila mtu ananena kwa lugha...hawaelewani

Mkuu nakuunga mkono. Kama ilivyokuwa nyakati zile za ujenzi wa Mnara wa Babeli wakikufuru kutaka kumfikia Mungu naye Mungu akawavurugia lugha wasipate kupatana tena vivyo hivyo na CCM. Jamani hili chama limekuwa na makufuru mengi yakiwamo majitu yao kuishi kama yako peponi, kauli za kutawala milele, n.k. Hakika dalili zote zaonesha Mungu anawavuruga sasa.

Kwani sikuizi ile kauli ya kidumu chama cha babu wenzangu bado munaisikia wakiisema. Mwenzenu nina miaka sasa sijaisikia, isipokuwa kauli mbiu ya c.. Oyee. Shakwenda.

Back
Top Bottom