masecretary veta wanadharau ile mbaya!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
nimepita ofisi ofisi nyingi sana lakini masekretari (reception)pale getin ni balaa dharau tupu,haswa dada mmojo mweupe ,mtotot lakini dharau tupu.Unaweza kuuliza swali tu la jibu dogo asikujibu eti hadi amalize shughuli zake au asikujibu,au akupe jibu la kijinga.wanakaa kubonyezana vijicho wanapoona mavazi ya masista wenzao na ujingakibao.acheni hizo!
 
Pole sana,wengi wao hawajasoma /hawajaenda hata course ya customer care ndo uelewa wao umefikia hapo. Haina tofauti na mlinzi akipata cheo anavyokuwa mnonko akipata kidogo kuliko mwenzake anajiona yuko juu!
 
Sahau na samehe mkuu kabla hujaanza bishana na mtu jaribu kucheck kama si kudadisi CV yake wengi wao elimu za kuunga unga ukishajua hivyo take it easy achana nae usimalize energy yako bure
 
wale ni dharau kwenda mbele. anaweza kukuambia kitu kama hujaskia anauchuna tu. si unajua kutoka pale getini hadi kule unapolipia dirishani kuna kaumbali, basi mimi kaniambia nenda karipie, nilivyo muuliza nilipie wapi form hakunijibu kama robo saa huku akimalizia kazi zake. baadae kasema kule geti la pili. nlipoenda nkakuta bonge la foleni. ustaraabu ulinishinda ikabidi nirudi kumpaka ili aache upumbavu wake kwa hasira nikaondoka zangu hadi kesho nilipo wahi kuja kulipia. Mia
 
Masecretary wa CBE nao sijui wamebadilika maana pale napo ilikuwa balaa!! Wanadharau hao, wanajisikia hatari.
 
jamani hao masecretary inabidi wapewe mafunzo maalum kabla ya kuanza kazi tatizo lao hawajasoma siku hizi kazi kujuana mtu anamchkua ndugu yake hata kama hajasoma no interview no nini wakati kuna watu kibao nawajua wamemaliza magogoni wadada poa hawana ajira, hao mabosi wanachkua ndugu zao wanaenda kuwapachika kazini wakati hawana elimu yeyote tena c ajabu ndo kamaliza shule ya kata halafu katoka na division zero ya ufagio. sasa wakienda ofisini ndo wanajiona keki!
 
ndo shida ya kuwapa ma bar maid kazi....wao wanajua kila mtu anataka kuwabonyeza..VETA hivo napo pana masekretari maana nikisikia jina hilo najua ni machuma na maspana tu
 
Hata wa mzumbe university dar campus ni balaa.
nenda kwa secretary wa deen yule mama mweupe mfupi uone jibu unalopata. utatamani umtemee machoni kudadek.
 
Hao jua chakula cha wakubwa wanaowasimamia ,wengi wao wana mahusiano na wakubwa wao,kwa hiyo hata ukienda kumlalamikia kwa mkubwa wake hatafanywa kitu,''chakula cha usiku si mchezo ndugu zanguni mtu akikila anageuzwa sasa kuwa mtumwa na si bosi tena''
 
nimepita ofisi ofisi nyingi sana lakini masekretari (reception)pale getin ni balaa dharau tupu,haswa dada mmojo mweupe ,mtotot lakini dharau tupu.Unaweza kuuliza swali tu la jibu dogo asikujibu eti hadi amalize shughuli zake au asikujibu,au akupe jibu la kijinga.wanakaa kubonyezana vijicho wanapoona mavazi ya masista wenzao na ujingakibao.acheni hizo!
Yahoo, Veta naenda sana, masecretary wako poa wao wao hukaa maofisini. Getini wanakaa walinzi, baada ya getini unapita ndani ndipo unakuta reception na wanaokaa hapo reception sio masecretary ni ma receptionist naomba kwanza rekebisha ndipo tuendelee'.
 
ushnielewa bwana,:hat:
 
Back
Top Bottom