Masauni aliyegushi umri UVCCM; nini kinaendelea?

Godwin Mneng'ene

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
215
84
Huyu Masauni inajulikana kabisa aligushi umri ili agombee uenyekiti wa UVCCM; ninavyofahamu mimi kughushi ni kosa la jinai, mbona huyu jamaa hajafikishwa mahakamani kutokana na kosa hili au ndio kuna watu hapa Tanzania wapo juu ya sheria?

Hii si sawa kabisa huyu jamaa lazima afikishwe kwenye vyombo vya sheria kwa kosa hili.
 
Hivi sasa ni Mbunge katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Anakutungia wewe na wanao na wajukuu wako sheria
 
Back
Top Bottom