Masasi: CHADEMA chaanza kuimarika

MIRICHE

Member
Sep 18, 2012
20
8
Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Masasi kimeanza kupata mafanikio makubwa baada ya wananchi hasa waishio vijijini kuanza kujiunga na chama.

Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinasema tayari baadhi ya kata zimekamilisha chaguzi zake kwa ngazi za msingi,kutokana na mafanikio hayo chama sasa kinaweza kufanya mikutano ya kujenga chama mara tatu kwa wiki pia imebainika kuwa ndani ya masasi hamna chama kinachofanya shughuli za siasa isipokuwa CHADEMA tu.

Hii inapelekea chama hicho kuonekana ndicho chama pekee ndani ya Masasi kilichokuwa karibu sana na wananchi
 
Vp mtama shuguli zinendeleaje au huko bado, make mbunge wetu yupo bize kutafuta urais
 
Uelewa kwa sasa kwa wananchi wa Masasi umeongezeka sana .Last Sunday yamefunguliwa matawi wawili kwa mpigo na mahudhurio ni ya kuridhisha.
M4C NI NOMA
 
Safiiii safi sanaaaaa.

Hayo ndio tunayataka, ni wakati wa kila mmoja kuchukua hatua za kiharakati mahali ulipo.
Wengine tuanze kujifunza kutoka kwa hawa wa Masasi.

Peoplessssss Poweeeer
 
Mpaka kieleweke. Pipoooooooooooz-----Pawaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Siyo Masasi tu,sehemu zote vijijini Tanzania hii zimeikubali CDM na M4C wanaielewa vizuri sana.Wananchi wanajua kuwa CCM imewadanganya kwa muda wa miaka 50,hawadanganyiki tena.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Masasi kimeanza kupata mafanikio makubwa baada ya wananchi hasa waishio vijijini kuanza kujiunga na chama.

Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinasema tayari baadhi ya kata zimekamilisha chaguzi zake kwa ngazi za msingi,kutokana na mafanikio hayo chama sasa kinaweza kufanya mikutano ya kujenga chama mara tatu kwa wiki pia imebainika kuwa ndani ya masasi hamna chama kinachofanya shughuli za siasa isipokuwa CHADEMA tu.

Hii inapelekea chama hicho kuonekana ndicho chama pekee ndani ya Masasi kilichokuwa karibu sana na wananchi
No CHADEMA no Tanzania .
 
Watu wa leo si kama wale wa miaka iliyopita,watu sasa wameamka hawapendi ile kusukumwa na hawa wakoloni weusi na majambazi,wateka nyara.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya Masasi kimeanza kupata mafanikio makubwa baada ya wananchi hasa waishio vijijini kuanza kujiunga na chama.

Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinasema tayari baadhi ya kata zimekamilisha chaguzi zake kwa ngazi za msingi,kutokana na mafanikio hayo chama sasa kinaweza kufanya mikutano ya kujenga chama mara tatu kwa wiki pia imebainika kuwa ndani ya masasi hamna chama kinachofanya shughuli za siasa isipokuwa CHADEMA tu.

Hii inapelekea chama hicho kuonekana ndicho chama pekee ndani ya Masasi kilichokuwa karibu sana na wananchi

acha uwongo we chavi! wengine ndo maskani uko! kajipange upya
 
Kama mara yako ya mwisho kuja Masasi ilikuwa Kabla ya June, umechemka. M4C huku ni moto wa kuotea mbali...Masasi watu wamebadilika sana kimtazamo! Chini ya viongozi makini ngazi zote, M4C inakimbiza mbaya. Hamia kwa makamanda we gamba, chelewa chelewa utakuta mwana si wako!
 
uwongo Mwingine hata mtoto mdogo humuongopei eti chama kinachofanya shughuli kisiasa ni chadema!!! ukifika masasi ni bendera za cuf na ccm
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom