Masanja na Uropokaji kwa Wazee!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Jana kama kuna mtu alipata kutazama kipindi cha Orijino Komedi, basi lazima angepatwa na jazba nyingi, hasa katika sehemu ya umalizaji wake.
Masanja katika hali ya kuonyesha kukerwa na kuanza kwa kipindi-pinzani cha EATV cha kusaka wachekeshaji, basi alitoa kauli 2 chafu zote zikimlenga R.MENGI, kama hivi:
i-Mtu anajifanya tajiri na ana hela, sijui kwanini anachanganyikiwa na mambo madogo kama haya!

ii-Nilitegemea UMRI wake (Mengi) ungeendana na mambo yake, lakini kumbe wapi, ndo hivyo tena!

Binafsi niliboreka sana na maneno hayo, si kwamba nampenda sana Reginald, lakini kumkashifu mtu kama yule aliyemzidi umri mno ni kinyume cha maadili kabisa!
Hana adabu kabisa Masanja, *+$%%*inkoskaz huyu!:mad:....
 
binadamu huwaga tunasahau mapema saana kama sio EATV ambao ndo walibuni hicho kipindi naamini hawa watu wangekuwa wanachunga ngombe na wengine wangekuwa chinga mtaani

tuelewe Mengi hahusiki na shuhuli za kila siku za makampuni yake naamini aliowaajiri ndo wanakuja na ideas, na mara zote wako very creative, kumtukana huyo mzee na kumvunjia adamu na kukosa heshima na shukrani, yetu macho tutaona mwisho wao
 
Natamani sana angekuwa JF aisome hii Post ..nilikuwa nawapenda sana hawa vijana na kipindi chao lakini sasa wanaelekea kuharibikiwa complete
Hajui kama biashara ni ushindani...
 
Watarudi walikotoka kuleee...Joti na Mpoki mtaani kabla ya kuokotwa na Seki/EATV.
 
Natamani sana angekuwa JF aisome hii Post ..nilikuwa nawapenda sana hawa vijana na kipindi chao lakini sasa wanaelekea kuharibikiwa complete
Hajui kama biashara ni ushindani...

1st Lady mdomo wa avatar yako..mmmh!!
 
Jana kama kuna mtu alipata kutazama kipindi cha Orijino Komedi, basi lazima angepatwa na jazba nyingi, hasa katika sehemu ya umalizaji wake.
Masanja katika hali ya kuonyesha kukerwa na kuanza kwa kipindi-pinzani cha EATV cha kusaka wachekeshaji, basi alitoa kauli 2 chafu zote zikimlenga R.MENGI, kama hivi:
i-Mtu anajifanya tajiri na ana hela, sijui kwanini anachanganyikiwa na mambo madogo kama haya!

ii-Nilitegemea UMRI wake (Mengi) ungeendana na mambo yake, lakini kumbe wapi, ndo hivyo tena!

Binafsi niliboreka sana na maneno hayo, si kwamba nampenda sana Reginald, lakini kumkashifu mtu kama yule aliyemzidi umri mno ni kinyume cha maadili kabisa!
Hana adabu kabisa Masanja, *+$%%*inkoskaz huyu!:mad:....

Hiyo kwenye mabano aliiweka Masanja au ya kwako?. Kama Masanja hakutaja jina la mtu basi sioni ubaya upo wapi. Maana Mtu si Mengi pekee, sisi sote ni watu.

Tusimuwekee masanja maneno mdomoni mwake. Cha kufanya mtafute umuulize alikuwa anamuongelea mtu yupi?. Then lete jibu tulijadili.
 
Uko rite mkuu,, lakini pamoja na hayo inaonyesha akina Massanja wataendelea kupiga bao hata kama wakija hoa ze komedi wa EATV.
Kwa kuanzisha hii thredi inamaana ulisacrifice kuangalia zekomedi wa EATV.
 
Usingoje utafuniwe na umezewe, weye Hof nini sijui(naogopa name-calling)!
Alianza kwa kusema...jirani kaamua kurudisha kipindi kama hiki katika muda sawasawa na wakipindi chetu hiki...Kashfa nyingi zikafuata.
Unadhani jirani yao huyo ni nani?
 
Wale vijana wa komedi wanatumika vibaya na wajanja wa hii inji, ila yote yana mwisho na mwisho wa siku watarudi kwa mzee mengi kupiga magoti
 
Uko rite mkuu,, lakini pamoja na hayo inaonyesha akina Massanja wataendelea kupiga bao hata kama wakija hoa ze komedi wa EATV.
Kwa kuanzisha hii thredi inamaana ulisacrifice kuangalia zekomedi wa EATV.

Nop, tunacheza kotekote, si unajua kubofya!
 
Hiyo kwenye mabano aliiweka Masanja au ya kwako?. Kama Masanja hakutaja jina la mtu basi sioni ubaya upo wapi. Maana Mtu si Mengi pekee, sisi sote ni watu.

Tusimuwekee masanja maneno mdomoni mwake. Cha kufanya mtafute umuulize alikuwa anamuongelea mtu yupi?. Then lete jibu tulijadili.

Mimi pia nilikiona kipindi hiki lakini hakumtaja Mengi, na katika siku ambazo vijembe havikuelekezwa EATV ni pamoja na siku hiyo.
Tuwe wakweli wakati mwingine.
 
Masanja, Joti na Origino Komedi yao wamefulia.

Tunawasubiri huku mitaani sie "Wana filamu"
 
Mimi nimeangalia kipindi hicho na hakuna sehemu aliyemgusa huyo mengi,sasa kama wewe mwandishi una ushahidi kwamba huyo aliyeguswa ni mengi lete vielelezo hapa na si kupiga majungu tuu,watanzania tumezoea kudanganywa hata na wapita njia!
 
Mimi pia nilikiona kipindi hiki lakini hakumtaja Mengi, na katika siku ambazo vijembe havikuelekezwa EATV ni pamoja na siku hiyo.
Tuwe wakweli wakati mwingine.

Acha kuwatetea

Kuna mwimbaji mmoja wa "zamani" aliimba: "Ndugu yangu utizame unapokwenda, vilevile ukumbuke ulikotoka".
 
Uko rite mkuu,, lakini pamoja na hayo inaonyesha akina Massanja wataendelea kupiga bao hata kama wakija hoa ze komedi wa EATV.
Kwa kuanzisha hii thredi inamaana ulisacrifice kuangalia zekomedi wa EATV.

Akina Seki, Masanja, Joti, Wakuvanga, Mpoki na McRegan Wamefulia, Watapigwa bao hivi karibuni, Uliona vipaji pale EATV ee?

Vijana wa EATV wanatisha.
 
Back
Top Bottom