Masanilo unatafutwa hapa....

Hakuna cha masanilo kutafutwa wala nini.
huyo bandidu ni mbongo na anaishi tandale. kesho jioni anaenda kutembelea tandika kwa wakweze
 
Masanilo is Alcoholic

Hapo kwenye RED! Atakuwa huko 'nyumba ya Pombe anapombeka'.

Si unajua sikukuu zimeongozana na ofisi yao ni ile wanayolipiza sikukuu, so vile 26 Dec (Boxing day) iliangukia Saturday, wao wameilipiza leo. Bado anakula raha.

Source: My Brain
 
But why looking for somebody that fiercly just for signature inquiries, not anything else?..Kuna kitu zaidi ya hapo!..Na ajabu Masanilo, katika hali isiyo ya kawaida haonekani leo. Kwa sisi mapolisi tunapata ri'suspicion na tunatafuta ri'samansi ra kwenda kumuaresti hapo
 
Back
Top Bottom