Elections 2010 Masanduku ya kupigia kura yakiwa na kura yakamatwa Dodoma!

Jan 16, 2007
721
176
Kasoro nyingi zajitokeza siku ya uchaguzi

Sunday, 31 October 2010 17:09

Waandishi Wetu

PAMOJA na amani kutawala katika maeneo mengi nchini wakati wa kupiga kura, kasoro nyingi zimeripotiwa kwenye sehemu mbalimbali ambazo zilisababishwa na upungufu na ucheleweshaji wa vifaa vya kupigia kura pamoja na majina ya wapigakura kutoonekana.

Mkoani Dodoma mjini dosari hiyo ilionekana baada ya kukamatwa kwa masanduku ya kupigia kura yakiwa na karatasi za kura kwenye nyumba ya mtu binafsi nje kidogo ya kituo cha kupigia kura.

Masanduku hayo mawili yaliyokuwa yamesheheni karatasi za kura yalikamatwa Oktoba 30 mtaa wa Majengo Mjini Dodoma saa 2:00 usiku kwenye nyumba hiyo ya mtu aliyejulikana kwa jina la Mwalimu Walburga Tarimo.

Aidha ambaye pia ilidaiwa kuwa mwalimu huyo ndiye atakayekuwa msimamizi wa kituo cha uchaguzi cha Makole.
 
What happened baada ya kukamatwa! Hayo masanduku yalifanikiwa kufika kituoni yakiwa matupu?
 
Hapo ni kituo kimoja kwingineku vipi?Kura zilizokamatwa tunduru zilifanikiwa kuingia.Hii ndio CCM tunayotegemea ituongeze MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Hivi kweli waafrika tunamatatizo, unapandikiza kura ili iweje sasa? wewe mtu mzima na akili zako timamu na kamili kabisa, mwenye familia unafanya mambo kama hayo?? Crazy.
 
Jamani wana mapinduzi huyo mwl kama vipi aendewe kisirisiri na makamanda wetu wa chema na tumsurubu
 
Mkuu wa kituo aboronga Send to a friend
Sunday, 31 October 2010 17:54
0
digg

Zulfa Mfinanga, Bariadi Magharibi
MKUU wa kituo cha uchaguzi cha Majaida katika Jimbo la Bariadi Magharibi amekutwa akiwa amekunja zaidi ya karatasi 200 za kura huku kukiwa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake.

Mtu huyo alikiri kufanya kosa hilo lakini alidai kuwa alifanya kosa hilo bila ya kujua kwamba anatenda kosa.
 
Kasoro nyingi zajitokeza siku ya uchaguzi

Sunday, 31 October 2010 17:09

Waandishi Wetu

PAMOJA na amani kutawala katika maeneo mengi nchini wakati wa kupiga kura, kasoro nyingi zimeripotiwa kwenye sehemu mbalimbali ambazo zilisababishwa na upungufu na ucheleweshaji wa vifaa vya kupigia kura pamoja na majina ya wapigakura kutoonekana.

Mkoani Dodoma mjini dosari hiyo ilionekana baada ya kukamatwa kwa masanduku ya kupigia kura yakiwa na karatasi za kura kwenye nyumba ya mtu binafsi nje kidogo ya kituo cha kupigia kura.

Masanduku hayo mawili yaliyokuwa yamesheheni karatasi za kura yalikamatwa Oktoba 30 mtaa wa Majengo Mjini Dodoma saa 2:00 usiku kwenye nyumba hiyo ya mtu aliyejulikana kwa jina la Mwalimu Walburga Tarimo.

Aidha ambaye pia ilidaiwa kuwa mwalimu huyo ndiye atakayekuwa msimamizi wa kituo cha uchaguzi cha Makole.
yasijekupotea kimiujiza tena!
 
Sasa kama uchakachuaji unatokea mjini tena Manispaa, huko vijijini hali ikoje? Ni Mungu tu ndiye aingilie kati otherwise maigozi tu ya upigaji kura na maandalizi ya ushindio wa kishindo wa CCM.
 
Masanduku hayo mawili yaliyokuwa yamesheheni karatasi za kura yalikamatwa Oktoba 30 mtaa wa Majengo Mjini Dodoma saa 2:00 usiku kwenye nyumba hiyo ya mtu aliyejulikana kwa jina la Mwalimu Walburga Tarimo.

Aidha ambaye pia ilidaiwa kuwa mwalimu huyo ndiye atakayekuwa msimamizi wa kituo cha uchaguzi cha Makole.

Huu ni mwanzo wa mwisho wa uttumwa wa CCM kwa watanzania.........................
 
kinachonikosesha hamu ya kula najua hiyo misanduku yao iko mingi,sio hilo lililokamatwa tu,aaagrrr.
 
Back
Top Bottom