Masanduku 16 yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa Arumeru Mashariki

Kitakachotokea Arumeru kutokana na mbinu chafu za magamba tunaomba sana watanzania wenzetu na dunia kwa ujumla msitulaumu, hatutavumilia kuona kura hata moja inachakachuliwa,.tutawafukia magamba hukuhuku wakiwa wazima ole wenu!!

Wewe upo Arumeru mkuu? Au unasemea Kilwa Kivinje!
 
Taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa mwanaharakati aliyeko Arumeru mashariki ni kwamba masanduku 16 yakamatwa Tengeru yakiwa na kura zilizopigwa. Yamepatikana masanduku hayo 16 yakiwa yameichagua CCM. Mwenye taarifa kamili tafadhali amwage hapa janvini. Photos will be appreciated.

heading: Masanduku yamekamatwa
Contente: mwenye taarifa atujuze. . . . me hates this!
 
Back
Top Bottom