Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
Hizi story za paka na panya hizi. Yasije kuwa kama yale ya mwaka 2010 kwamba mpaka wa tunduma yamekutwa masanduku yenye kura milioni tano zimemchagua kikwete. Taarifa kama hizi zaweza kuwa zinatolewa na CCM ili kutaka kuwachanganya akili chadema. Tuweni watulivu na focused kwa ajili ya uchaguzi wa kesho. Story kama hizi zisizokuwa na ushahidi hazina maana kabisa.