babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,087
- 15,981
mi hata hayo madai siamini vizuri usikute bado ni yeye mwenyewe lowassa katengeneza mchongo mwingine ili jamaa wakilipwa fidia ale %,lowassa hawezekanikiMagazeti yetu yanaamini hayauzi bila richmond/lowassa/rostam.
Hivyo mtu mwenye akili yake anaweza kuutwisha uamuzi wa serikali [cabinet decision] kwa mtu mmoja??? basi kama kuna mtu wa kutwisha bora angebebeshwa rais.