Masaburi na mkutano wa SIRI Courtyard hotel na wahariri

yaani umefikia hatua ya kuona bora yeye anayeiba kidogo kuliko wale walio iba sana? labda kama ni ndugu yako ila ki ukweli ni kwamba yeye ndio wa hovyo zaidi, jiulize ana muda gani tangu awe meya na kashaiba kiasi gani.mpk miaka mitano ikiisha atakua ameiba mara kumi zaidi ya wale waliopita ambao wlikaa muda mrefu zaidi. mwenzako ana tapatapa.

Wana JF, Meya wa Dar bwana Didas Masaburi baada ya kuelemewa na tuhuma nzito za kashfa ya UDA ijumaa iliyopita alifanya mkutano na wahariri wa vyombo vifuatavyo vya habari kwenye hoteli ya courtyard. Ajenda kubwa ilikuwa kuangalia uwezekano wa wao kupata bakhshishi za pesa including za matangazo ili wajaribu kurudisha upepo juu ya hii kashfa ya UDA

Sasa inaonekana kuna watu washavunja ranks toka kwenye team yake bwana Masaburi na zile ahadi kemkem zilizotolewa inaonekana wenye vyombo vya habari vyenye kelele sana wamepata zaidi ya wenzao na sasa washaanza kutajana na hiyo milungula ambayo imeandaliwa ili kusawazisha mambo na kupindisha ukweli.

Wahariri waliohudhuria walitoka:

UHURU RADIO na GAZETI

GAZETI LA CHANGAMOTO

CHANNEL 10

STAR TV

RADIO FREE AFRICA

RADIO ONE

ITV

HABARI LEO

DAILY NEWS

TANZANIA DAIMA

MWANAHALISI

hii inathibitisha kuwa hawa watu wa MAINSTREAM MEDIA ni part of the problem kwani bila haya wanakubali kuitwa kwenye vikao vya kupewa rushwa na kununuliwa misosi pale Courtyard Hotel ili wapate kupindisha ukweli kuhusu hili sakata la UDA na kumpunguzia Presha Meya. Sasa katika hiin war chest ambayo inatazamwa na Bwana Iddi Simba kupitia kwa jamaa yake ni kununua airtime na kampeni zakumsafisha Masaburi, Iddi Simba na uongozi mzima wa ofisi ya mstahiki meya.

so hawajafunga?????kwanin wanakubal kununuliwa msosi na saum hii au wote si wafungaji???na waliofunga walipewa nin

yaani umefikia hatua ya kuona bora yeye anayeiba kidogo kuliko wale walio iba sana? labda kama ni ndugu yako ila ki ukweli ni kwamba yeye ndio wa hovyo zaidi, jiulize ana muda gani tangu awe meya na kashaiba kiasi gani.mpk miaka mitano ikiisha atakua ameiba mara kumi zaidi ya wale waliopita ambao wlikaa muda mrefu zaidi. mwenzako ana tapatapa.

Huyu Didas Masaburi sio mwizi tu wa kawaida bali ni jambazi sugu; wale wamjuao watakwambia hivyo na huo umeya aliusaka ili aibe zile fedha zilizoahidiwa na wafadhili kuletwa kuliendeleza jiji!! Kukiwa na controller na Auditor General aliyeonyesha udhaif kwenye suala la Jairo naona hata hawa wakina Masaburi na wezi wenzie hawakosi usingizi kuhusu uchunguzi wanaofanyiwa kwani mambo yote wanafanya kwa blessings za mkweree!!

U can always buy people but u will never buy the free thinking, wanao ongopewa ipo siku nao watachoka

nafikiri jambo la msingi ni kupata kile kilichokusudiwa katika mkutano huo na sio ama mkutano ulikuwa siri au la. tuache kufikiri kwa masaburi yetu...... kuna kundi limetumwa JF kumtetea masaburi yao mkuu Didas ........ni genge lililotumwa kujibu hapa jF ili kumnusuru na kashfa ya UDA.

Wana JF, Meya wa Dar bwana Didas Masaburi baada ya kuelemewa na tuhuma nzito za kashfa ya UDA ijumaa iliyopita alifanya mkutano na wahariri wa vyombo vifuatavyo vya habari kwenye hoteli ya courtyard. Ajenda kubwa ilikuwa kuangalia uwezekano wa wao kupata bakhshishi za pesa including za matangazo ili wajaribu kurudisha upepo juu ya hii kashfa ya UDA

Sasa inaonekana kuna watu washavunja ranks toka kwenye team yake bwana Masaburi na zile ahadi kemkem zilizotolewa inaonekana wenye vyombo vya habari vyenye kelele sana wamepata zaidi ya wenzao na sasa washaanza kutajana na hiyo milungula ambayo imeandaliwa ili kusawazisha mambo na kupindisha ukweli.

Wahariri waliohudhuria walitoka:

UHURU RADIO na GAZETI
GAZETI LA CHANGAMOTO
CHANNEL 10
STAR TV
RADIO FREE AFRICA
RADIO ONE
ITV
HABARI LEO
DAILY NEWS
TANZANIA DAIMA
MWANAHALISI

hii inathibitisha kuwa hawa watu wa MAINSTREAM MEDIA ni part of the problem kwani bila haya wanakubali kuitwa kwenye vikao vya kupewa rushwa na kununuliwa misosi pale Courtyard Hotel ili wapate kupindisha ukweli kuhusu hili sakata la UDA na kumpunguzia Presha Meya. Sasa katika hiin war chest ambayo inatazamwa na Bwana Iddi Simba kupitia kwa jamaa yake ni kununua airtime na kampeni zakumsafisha Masaburi, Iddi Simba na uongozi mzima wa ofisi ya mstahiki meya.

Sasa naona mbona mnajichanganya.

yaani vyombo vyote hivo wamehongwa. sasa ni chombo gani ambacho hakijaongwa?

sasa nyinyi mmejuaje mambo haya ?

sasa huo mgao inamaana waandishi hawajepwa lakini wahariri wamevuta

Wana JF, Meya wa Dar bwana Didas Masaburi baada ya kuelemewa na tuhuma nzito za kashfa ya UDA ijumaa iliyopita alifanya mkutano na wahariri wa vyombo vifuatavyo vya habari kwenye hoteli ya courtyard. Ajenda kubwa ilikuwa kuangalia uwezekano wa wao kupata bakhshishi za pesa including za matangazo ili wajaribu kurudisha upepo juu ya hii kashfa ya UDA

Sasa inaonekana kuna watu washavunja ranks toka kwenye team yake bwana Masaburi na zile ahadi kemkem zilizotolewa inaonekana wenye vyombo vya habari vyenye kelele sana wamepata zaidi ya wenzao na sasa washaanza kutajana na hiyo milungula ambayo imeandaliwa ili kusawazisha mambo na kupindisha ukweli.

Wahariri waliohudhuria walitoka:

UHURU RADIO na GAZETI
GAZETI LA CHANGAMOTO
CHANNEL 10
STAR TV
RADIO FREE AFRICA
RADIO ONE
ITV
HABARI LEO
DAILY NEWS
TANZANIA DAIMA
MWANAHALISI

hii inathibitisha kuwa hawa watu wa MAINSTREAM MEDIA ni part of the problem kwani bila haya wanakubali kuitwa kwenye vikao vya kupewa rushwa na kununuliwa misosi pale Courtyard Hotel ili wapate kupindisha ukweli kuhusu hili sakata la UDA na kumpunguzia Presha Meya. Sasa katika hiin war chest ambayo inatazamwa na Bwana Iddi Simba kupitia kwa jamaa yake ni kununua airtime na kampeni zakumsafisha Masaburi, Iddi Simba na uongozi mzima wa ofisi ya mstahiki meya.

Usishangae hao hao ndo wanasema wananyimwa haki kwa sababu wao ndiyom wenye nyenzo ya kusikika, si huyo tu, ukirudi kampuni kubwa kubwa kama TBL, ZAIN(Airtel) zinatoa sana takrima kwa hawa watu halafu wakizidian tunayasikia!

Leo Masaburi kafutarisha je yote haya yooote ni katika utekelezaji wa mikakati ya Courtyard?

I cant wait kusoma magazeti ya leo asubuhi

IMG_1983.jpg

Back
Top Bottom