Masaburi na machinga complex

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Bwana Masaburi aka mzee wa makalio ametoa wito kuwa wale wanaomiliki vizimba pale machinga complex na hawavitumii WAPOKONYWE,masaburi anaendelea na ziara zake za dharura,ameshapita DDC na keo ametinga MACHINGA COMPLEX,sijui UDA atapita lini???
 
Back
Top Bottom