Masaburi ammwaga Mtemvu DDC

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,270
Didasi Masaburi meya wa Bongo ameivunja bodi ya wajumbe wa ddc iliyokuwa ikiongozwa na Abas Mtemvu hivyo kuonyesha ile vita ya UDA bado inawatesa na mapambano bado ni makali kupita kiwango!!

Tia nyama, tia nyamaaa, ngoma inogile!!! halitasalia jiwe juu ya jiwe lisilobomoshwa.

Hi kweli kali, ndio siasa uchwara hizo kesho walahi utamsikia mtemvu akisema masaburi hana mamlaka ya kuvunja bodi

Didasi Masaburi meya wa Bongo ameivunja bodi ya wajumbe wa ddc iliyokuwa ikiongozwa na Abas Mtemvu hivyo kuonyesha ile vita ya UDA bado inawatesa na mapambano bado ni makali kupita kiwango!!

Wote wezi tu huyo masaburi ndo jambazi kwa kuuza uda kwa ya kutupa mi mpaka saizi nipo kituoni

avunje na ya kibuku maana hatuipati kwa uhakika tena ya unga haipo siku izi

Umenikuna Mkuu! Umejuaje kuwa ndo nakamata hiyo kitu halisi..!!? Kitu jero unaongea kiinglishi kumzidi Bw. Godauni Hudhurungi (Godon Brown)

Back
Top Bottom