Marytina is dead......REACTIONS TO PRE-DEATH from MMU

Kila mtu akianzisha thread ya kila kipitacho kwenye akili yake JF hakutakalika....!

Nakutakia maisha marefu Marytina,sitaki ku-imagine umekufa,nitaumia sana.
nikifa wanaume wa dar watashangilia
 
DEAR!!!
ukitaka usiumizwe kwenye mapenzi go for sub-standard i.e wewe shule ya kuungaunga unamchukua lecturer handsome tena kwao kuna hela za urithi unategemea nini???
mtaachika mpaka mkomee
kama unatumia kijiti, basi ni cha malawi tena unachanganya na m@vi ya panya

aisee...:rant:
 
mbona hamnipi RIP zangu au tanikandia ntakapokufa

Wewe Marytina wewe!
Unaziita roho za umauti kwanini?
Kwa kifupi sana mwitikio wa kifo chako itategemea yafuatayo:
Je wewe ulishiriki matatizo ya wengine?
Wewe uliweka mchango gani katika jamii?
Unatoka katika social status gani?

Wakati mwingine watu humiminika kwenye misiba siyo kwa sababu walimpenda marehemu wakati wa uhai wake, bali wanataka "kuhakikisha" ni kweli jamaa kafa!Pia kuna wengine hufurika kwenye misiba ya watu kwa vile wanajua watakutana na watu wao kibiashara, kirafiki, kimtandao! Kuna wengine wa ajabu zaidi.Kama msiba uko nyumbani basi wako wale ambao wasingeota kufika nyumbani kwa marehemu kwa vile haikuwepo sababu.Hawa watamiminika ili tu wapate fursa kuja na kupitapita kwenye nyumba za watu!Hivyo Marytina usijisumbue sana kutafuta reaction JF.Jiwekee mtaji wako kwa kutenda mema ili utakapoaga dunia uwe na watu wa kutosha kukulilia na kukutakia R.I.P unayoitafuta.
 
nimeshatuma mchango wangu ndugu ngongo kwa mpesa kupitia hiyo no uliyoitaja hapo 0755 000001.R.I.P Marytina. hahahaaa chezea mungu ww tutakusahau kweli kwani tunachelewaga kusahau sie tukizika tu kwishney habari zako zote.
 
ni mpaka tujulishwe kuwa umekufa
unaweza kufa pakakosekana mtu wa kuleta hizo update hapa
REMEMBER-KAULI KAMA HIZI SOMETIME HAZIFAI,MAANA ZINAWEZA KU-MATERIALISE
 
DEAR!!!
ukitaka usiumizwe kwenye mapenzi go for sub-standard i.e wewe shule ya kuungaunga unamchukua lecturer handsome tena kwao kuna hela za urithi unategemea nini???
mtaachika mpaka mkomee

Hii nimecheka .....Una roho mbaya sana Marytina
 
Wana JF Arusha leo tutakuwa na kikao kwaajili ya kumsindikiza ndugu yetu na Dada yetu mpendwa Marytina aliyefariki ghafla jana usiku.Kikao kitaanza saa 12 jioni Soweto Garden kila mwaJF Arusha afike na mchango usiopungua 20,000/= au zaidi.Kamati ya maandalizi inatarajia kutengeneza Tshirt zenye ujumbe mahsusi,kila mwanaJF atapewa nafasi ya kupendekeza nini kiandikwe katika tshirt.

WanaJF waishio mbali na mji wa Arusha michango yao waitume kwa mwenyekiti na mweka hazina wa kamati ya maandalizi Mheshimiwa Ngongo namba ya simu 0755 000001.

RIP Marytina tulikupenda sana lakini Mungu alikupenda zaidi.
Ngongo kumbe huyu dada tunaye Arusha, basi hebu cheki M Pesa nimeshatuma mchango na itifaki imezingatiwa.
 
Ni kweli siku si nyingi uta RIP,sasa ni vema ungechagua hata adhabu yako mbele ya God,kwani wewe ni mdhambi kweli.

Kufa kunatisha lakini nadhani Marytinaa alitaka aambiwe watu watasikitika kama jinsi Regia walivyosikitika.
 
Marytina dear mzima wewe?

Nadhani kifo cha Mh. R. Mtema kimemuathiri sana kisaikolojia! Sasa ameanza kukitafakari kifo kwa undani. Hapa ameanza tu na reaction ya wale wanaomfahamu kuwa itakuwaje. Baada ya hapo atakitafakari zaidi na zaidi.
 
Back
Top Bottom