Mary Nagu: The most incompetent cabinet Minister

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Dr.-Mary-Nagu1.jpg

Read between the lines in this interview ndio mtaelewa kuwa tumewekewa Dinosaur as our enterprising Minister

Interview with Hon. Mary Nagu Minister of Industry Trade and Marketing of Tanzania

This is so embarrassing.

I wont post her youtube videos lakini you get the idea what sorts of ministers wanatuongoza

Isn't she responsible for BRELA? If she is then I rest my case
 
Nakubaliana moja kwa moja nawe. Huyu ni kati ya wanaomhujumu JK na mtandao wake wa mafisadi ili aendelee kuwepo kwenye system. Ni lipi alilofanya tangu awe waziri katika wizara zote alizopangiwa? Anabebwa tu sasa kwenye koti la wengine.Tuhakikishe katika mchakato wa katiba wabunge wasiwe mawaziri ili wanaoweza kuisaidia nchi hii lakini hawapendi siasa za vyama waweze kupangiwa kazi za uwaziri.
 
Huyu mama niliwahi kukutana naye airport Arusha, like 4 years ago!! Arguments alizokuwa anatoa kwenye issues generally, nilianza ku-doubt uwezo wake!!!!

Ni kawaida, kwani unategemea nini toka CCM?!!!
 
unafikiri kila mtu ana nafasi ya kusoma? ungeweka mtazamo wako hapa juu ya ulichokisikia badala ya kutupa kazi wote tusikilize. Be smart time is money.
 
Huyu mama niliwahi kukutana naye airport Arusha, like 4 years ago!! Arguments alizokuwa anatoa kwenye issues generally, nilianza ku-doubt uwezo wake!!!!

Ni kawaida, kwani unategemea nini toka CCM?!!!

sema alichosema na wewe pale airport Arusha na sisi tupime kama ni wewe mwenye uwezo mdogo au ni mama Mary Nagu. siasa haitengani na uongo je kama unamsingizia tutajuaje bila kutuambia ulichozungumza naye.
 
Nakubaliana moja kwa moja nawe. Huyu ni kati ya wanaomhujumu JK na mtandao wake wa mafisadi ili aendelee kuwepo kwenye system. Ni lipi alilofanya tangu awe waziri katika wizara zote alizopangiwa? Anabebwa tu sasa kwenye koti la wengine.Tuhakikishe katika mchakato wa katiba wabunge wasiwe mawaziri ili wanaoweza kuisaidia nchi hii lakini hawapendi siasa za vyama waweze kupangiwa kazi za uwaziri.

alichofanya lazima kitakuwepo kama hakitoshi ni jambo lingine na kusema hajafanya chochote. Nenda wizarani kaangalie mambo yaliyofanyika chini ya uwaziri wake pengine yapo badala ya sisi kujifungia hapa Jf na kutoa majibu ya jumla jumla. Mindi you simtetei huyu mama kama kweli hatoshi bali nakataa kwamba hajafanya kitu kabisa
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.The lady minister is not incompetent.She could lack some diplomatic skills which are typical of her tribesmen but she is brilliant and persistent in her work.
Mwacheni kama hamna a "concrete agenda" on her.
 
Hoja yako tu pia unaonyesha ni kilaza hujatoa mchango wowote zaidi ya kutukana. vilaza mpo wengi Tanzania
Daima ukiwa narrow minded ni lazima utakuwa muumini wa serikali ya hand to mouth kama hii. Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa.
 
We just recircle the same old chaps....and get the same awkward results.

I can't recall who said this: Insanity is doing the same things but expecting different results!

It won't be any more appropriate relative to this country's pathetic incompetent "government"
 
alichofanya lazima kitakuwepo kama hakitoshi ni jambo lingine na kusema hajafanya chochote. Nenda wizarani kaangalie mambo yaliyofanyika chini ya uwaziri wake pengine yapo badala ya sisi kujifungia hapa Jf na kutoa majibu ya jumla jumla. Mindi you simtetei huyu mama kama kweli hatoshi bali nakataa kwamba hajafanya kitu kabisa

Hata kufanya kitu cha hovyo nako ni kufanya kitu, lakini cha kujiuliza ni kama kilichofanywa kina manufaa.
 
Kwani huyu mama amesomea nini? Hapo kwenye core values ndo kaenda mchomo kweli. Maswali yote matatu hakujua yanataka nini. Nimemkumbuka Ole Naiko alivyokuwa anang'ang'ania kuwa madini ni 'renewable resource'. Siku ile nilikuwa naficha sura kwa style ya Mama Usu wa TGNP maana' it was very shameful'
 
"TI: So what are the core values that you would like to convey with the Tanzanian brand to foreign investors?

MN: Well, we have many. (We are in Africa, and we are an island of peace and stability) Lugha!!!!!!!.

We are a force when it comes to integrating Africa. We helped other countries of Africa to gain independence; we are now in the forefront of integrating Africa so that we become one big continent with one voice.

This is a continent where the economic growth right now is very high, where when you invest and the return on what you invest is very high, and given that we are in Africa, and we are a stable country, those benefits will be more obtainable in Tanzania than elsewhere.

We are a very, very big sleeping giant and have a lot of natural resources, we are an open economy and I think these are attributes that any investor would like to find.

We are also very strategically located, in the middle of Africa, so we are a gateway to other African countries.

We have six landlocked countries around us which use the Dar es Salaam port so it is not just a question by of advertising ourselves, it is a reality: we are a gateway to other African countries and to Europe as well".

Huyu na Sofia Simba??????? Lakini nami nkiri hii ni carbinate ya manyani.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.The lady minister is not in-competent.She could lack some diplomatic skills which are typical of her tribesmen but she is brilliant and persistent in her work.
Mwacheni kama hamna a "concrete agenda" on her.

Hapo kwenye red _what for?

Pia nashukuru umekiri - she lack skills.
 
Back
Top Bottom