Marufuku wanaharakati kuhuduria mechi ya Simba na Yanga

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
akiongea na waandishi wa habari kova alitoa saababu za kupiga marufuku maandamano ya dowans kuwa ni pamoja na tishio la kuwepo kwa kikundi cha kigaidi cha alshabab, akapiga marufuku mikusanyiko yote mjini, mandishi mmoja akuauliza vipi hata mechi ya jmosi dar nayo haita kuwepo? mheshimiwa kova akajibu kuwa alshabab wanapenda kuwalenga wanaharakati,
maoni yangu: waanaharakati, chonde msihudhurie mechi hiyo, mtalengwa na kusababisha maafa makubwa.
nawasilisha
 
akiongea na waandishi wa habari kova alitoasaababu za kupiga marufuku maandamano ya dowans kuwa ni pamoja na tishio la kuwepo kwa kikundi cha kigaidi cha alshabab, akapiga marufuku mikusanyiko yote mjini, mandishi mmoja akuauliza vipi hata mechi ya jmosi dar nayo haita kuwepo? mheshimiwa kova akajibu kuwa alshabab wanapenda kuwalenga wanaharakati,
maoni yangu: waanaharakati, chonde msihudhurie mechi hiyo, mtalengwa na kusababisha maafa makubwa.
nawasilisha

kazi kweli kweli....! sasa sijui bora ni nini kufikira kwa kidolegumba cha mguu ama masaburi!
 
Sipati picha jamaa mkavu macho kayatoa mate yanamtoka wakati akijibu hilo swali.....Ningekuwepo nngemuuliza kuhusu issue ya Kampala inaelekea wanaharakati ndo walikuwa wanatizama ile mechi au haikuwa mechi yalikuwa majadiliano...
 
Back
Top Bottom