Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
...wewe ndo m.a.g.a.m.b.a. yamekung'ag'ania kweli kweli hadi kwenye mboni za macho,yaani sasa hata kuonahauoni tena...Ipo wapi hiyo barua?
...wewe ndo m.a.g.a.m.b.a. yamekung'ag'ania kweli kweli hadi kwenye mboni za macho,yaani sasa hata kuonahauoni tena...Ipo wapi hiyo barua?
Wakuu,
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imetoa barua na kuzigawa katika vyama vya Siasa target yao ikiwa Chadema eti ni marufuku kwa bendera za vyama kupepea ndani ya Manispaa,
Sababu eti maeneo ni ya serikali na kuna wananchi hawana chama! Kama mtakumbuka nilieleza kasi ya Chadema katika kufungua matawi ndani ya Manispaa ilinashika kasi kubwa na hilo limewashtua magamba haswa haswa lilie la kata ya kichangani,ambapo Viongozi wa magamba walipita uck na kushusha bendera zote za chama cha chadema na wakati mwingine wanatoa hela kwa vijana wachovu ili kutekeleza hayo!
Leo tamko hilo limejibiwa na katibu wa chadema Wilaya na Ishallah this week nitatoa huma JF barua ya Manispaa na majibu ya chadema kwenda manispaa.
Hivi namna hii kweli tutafika? naomba magamba wasome alama za nyakati kwa uchaguzi wa juzi tu pale senegal.
Nawakilisha,
mkuu simradi tumeshajua kilichokuwemo kwenye hiyo barua inatosha mkuuMbona haiko kwenye headed paper au umeshindwa kuiscan na kuamua kuichapa upya?
VIJANA TUNAWATAKA UFAFANUZI VIONGOZI WAHUSIKA KWA NINI 'HAKI ZA USHIRI KATIKA VYAMA VYAA SIASA NA NA KUTUMIA VIELELEZO VYA UPENZI NDANI HUMO' HIVI SASA UWE NI KOSA KWA SERIKALI YA CCM LEO HII AMBAPO USHINDANI UMESHIKA MOTO?
... jambo lolote linalogusia kwenye swala la HAKI YA RAIA katika nchi ni swala nyeti hakuna mfano wake;
na kama Mhe Rais wa nchi ndio kabisaaa hatuwezi tukamruhusu hata dakika moja KUSUMBUA, KUBUGHUDHI AU KUKANYAGA haki zetu za msingi Ki-Katiba miguuni;
je huyo anayeitwa 'Kiongozi Katika Manispaa ya Morogoro' yeye anayo madaraka kutoka wapi huko tusiojua hata akachagua KUBAKA haki za kikatiba mchana mchana eti kwa kupiga marufuku bendera ya vyama vya siasa katika mji huo?
Hili ni jambo nyeti ajabu, majuzi tumeshuhudia Dk Bilal akishusha bendera za chama fulani kule Tunduma;
leo tunasikia ya Morogoro na kesho htujui kwamba tutasikia kutoka kona gani tena ya nchi; WANANCHI tunawataka ufafanuzi wa haraka wahusika wote kabla hatujaanza KUONA SABABU KUSIMAMA NA KUHESABIWA katika kutetea haki hizi kote nchini hivi karibuni.
JacksonMichael said:Ipo wapi hiyo barua
huna tofauti n yule shahidi kwenye kesi ya lissu...anaulizwa unajua kusoma anasema sijui ila nikivaa miwani ntasoma maana macho yangu ni madogo
Hii font inaumiza macho, au ndo unajifunza jinsi ya kuedit?