Elections 2010 Martha Mlata naye...

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,603
29,745
Aliwasiliana nami kwa sms alfajiri ya leo akiniambia kuwa ameshinda nafasi ya viti maalumu Singida....
Nimejaribu kumtafuta anipe details lakini simu yake unreachable. Kama tuna mdau yeyote singida atupe yaliyojiri huko.
 
Samahani mkuu kama nitakukwaza, huyu mama kama kweli amechaguliwa tena basi mjue CCM ndio mwisho wake umekaribia !! Ni mtu asiyekuwa na maadili ya kiuongozi na alitia sana aibu alipokuwa huku uingereza eti kwa masomo!! Hafai hata chembe ya senti moja kuwa mbunge
 
Pitia blog ya Michuzi nimeona ameweka picha za Martha Mlata na Diana Chilolo kwamba ndio walioshinda viti maalum kwa mkoa wa Singida.
 
Samahani mkuu kama nitakukwaza, huyu mama kama kweli amechaguliwa tena basi mjue CCM ndio mwisho wake umekaribia !! Ni mtu asiyekuwa na maadili ya kiuongozi na alitia sana aibu alipokuwa huku uingereza eti kwa masomo!! Hafai hata chembe ya senti moja kuwa mbunge

Una maana gani alitia aibu??

Kama sio majungu tu kama kawaida....hawa Dada zetu zijui waliwakosea nini..!!!
 
Kwenye blog ya Michuzi aliyeshinda ni Ritah Mlaki, viti maalum CCM Dar hivyo taarifa za Matha kutoka Singida bado ni muhimu zipatikane hapa. Wadau wa Singida tusaidieni.
 
Kutia aibu kwa kiswahili maana yake mtu mzima kufanya vitendo visivyostahili kwa umri wake mbele ya kadamnasi!! Kama ni dadiyo usitake tumwage mchele penye kuku wengi kwani hata huo ubunge atauona mchungu!Kwa kifupi ni ******* doa!!
 
Pia taarifa ya Martha Mlata na Diana Chilolo kushinda ilikuwepo. Aliyeongoza kura za maoni ni Diana Chilolo na wa pili ni Martha Mlata. Unge-scroll down baada ya news/picha za Rita Mlaki, ungekutana na hizo za hao wa Singida.
 
Kutia aibu kwa kiswahili maana yake mtu mzima kufanya vitendo visivyostahili kwa umri wake mbele ya kadamnasi!! Kama ni dadiyo usitake tumwage mchele penye kuku wengi kwani hata huo ubunge atauona mchungu!Kwa kifupi ni ******* doa!!

Heshima kitu cha bure...nilijua tu hoja yako itakuwa ni hiyo. Huna jipya, kwa sababu ni mwanamke ndio unaona hapo ndio penye kumletea majungu. Wewe ulikuwa wapi kudhibitisha kuwa ana tabia hiyo...wewe pia tukuweke kundi gani...la wambeya? Au kwa sababu wewe ni mwanaume unajioa untouchable. Pathetic...
 
In our culture mwanaume anaitwa kiwembe,mkali wa totoz..
Mwanamke anaitwa changudoa,jamvi la wageni
kwa kitendo hiko hiko.......
 
Yaani ni bora ingekuwa culture Mkuu, ni upuuzi tu tuliojingea wenyewe.

Sijui, ilikuwaje tukafika hapa!!
 
yaani ni bora ingekuwa culture mkuu, ni upuuzi tu tuliojingea wenyewe.

Sijui, ilikuwaje tukafika hapa!!

sio upuuzi ni universal culture....
Huko ulaya kuna nchi kama zetu tu kwa mambo hayo.
Mfano uk na princess diana unakumbuka????
Nchi kama ufaransa wamepiga marufuku kwa masuala ya ngonoya watu kuandikwa
kwenye vyombo vya habari,hilo limesaidia.....

But hata marekani ukifuatilia tabloids utakuta haya mambo...
Conndoleeza rice aliwahi kutajwa kuwa na five boyfriends......
 
Heshima kitu cha bure...nilijua tu hoja yako itakuwa ni hiyo. Huna jipya, kwa sababu ni mwanamke ndio unaona hapo ndio penye kumletea majungu. Wewe ulikuwa wapi kudhibitisha kuwa ana tabia hiyo...wewe pia tukuweke kundi gani...la wambeya? Au kwa sababu wewe ni mwanaume unajioa untouchable. Pathetic...

Inawezekana kwa utamaduni wa kwenu mwanamke anaweza kuwa na wanaume wengi wakati mmoja bila aibu lakini kwa makabila mengi ya kiafrika mwanamke kama huyo lazima ataitwa MALAYA !! Ingawa kwa wanaume inaonekana kama sio ISSUE....!! Sasa ingawa alikuwa ulaya kama kiongozi alibidi kulinda utamaduni wa huko atokako.
 
Kutia aibu kwa kiswahili maana yake mtu mzima kufanya vitendo visivyostahili kwa umri wake mbele ya kadamnasi!! Kama ni dadiyo usitake tumwage mchele penye kuku wengi kwani hata huo ubunge atauona mchungu!Kwa kifupi ni ******* doa!!

hANA Uchangudoa wowote ni majungu tu wa waswahili, unamzushia kisa labda alionekana close na mwanaume katika mazungumzo. otherwise, weka data tuzichambue hata maana hapa tuna sema WE DARE TO TALK OPENLY, sasa unaficha nini kama si MAJUNGU, ACHA HIZO, ALIKUNYIMA NINI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom