Married ex

Sijui about wokovu at this point ama kanisa anhudhuria as such but point yangu is that walipokuwa bf/gf hawakufanya mapenzi kwa miaka 3 kwa sababu rafiki yangu alikuwa saved.

What do you mean? Una maanisha kwamba walikuwa wapenzi kwa miaka mitatu lakini hawakuwahi kukutana kimwili kwa kuwa mdada alikuwa mlokole?

Kwa hiyo sasa hivi huyo dada kaacha ulokole na yuko tayari kufanya ngono? Na je hiyo ''sexual tension and chemistry'' unayoizungumzia ni ipi? Ya sasa hivi baada ya kuoanana tena?
 
pls wacha tusi pretend tht mwanamume kumsaidia mwanamke saaaana is a way of kutafuta mapenzi
 
What do you mean? Una maanisha kwamba walikuwa wapenzi kwa miaka mitatu lakini hawakuwahi kukutana kimwili kwa kuwa mdada alikuwa mlokole?

Kwa hiyo sasa hivi huyo dada kaacha ulokole na yuko tayari kufanya ngono? Na je hiyo ''sexual tension and chemistry'' unayoizungumzia ni ipi? Ya sasa hivi baada ya kuoanana tena?

Hawaja onana for about 7 or so years .Yes ni sasa hivi baada ya kutoonana for many years.
 
Mapenzi sumu na I understand that. I always say love is the absence of logic. Mtu akishapenda anaacha kutumia akili. Your friend is an accident waiting to happen. The best you can do is tell her that she is a woman and she should consider how the other woman would feel. What comes around goes around. Hata kuja kuolewa na huyo mwanaume he justs wants to fvck her. Ikitokea akasaidia kwenye usaliti wa ndoa muambie asi lalamike kwamwe na yeye yakija kumkuta. Sometimes you have to tell peeople the plain truth maana ukimuambia kwa upole ataona kama ndiyo unamuencourage.
 
asilimia kubwa ni hao wanaume zetu wanawafata hao warembo, achia mbali hao wachache wanaojilengesha....ndio mana mie nikifuma na deal na mhucka wangu...yeye ndio chanzo!

Hilo nalijua sana sweetheart, ndio maana uaminifu wangu kwako sio wa kutilia shaka yoyote (beyond reasonable dought)....!!!
 
siku hizi nishakuwa fan wa nyumba ndogo...sijui kwa nini....

mwambie dada wa watu aenjoy maisha,kwani mafupi...

yeye ni second best,na nafasi yake haitabadilika mwambie asijisahau akacomplicate mambo,mimba ama magonjwa ni vitu vya kuepuka!...hivyo condom ni muhimu......

sijui kwa nini tunapenda kumlaumu mwanamke,na wakati dhahiri mwenye makosa hapo ni huyo mwanaume ambaye anajijua kabisa ameoa,ana mke ndani na bado anamfata mtu wake wa zamani,

Mnajuaje labda ndio sasa ametambua amefanya makosa kumuoa huyo mke aliye naye??
 
Excuse me? nafikiriri kama unasoma vizuri nimeandika baadhi na tena nikapigia mstari nikitegemea kwamba kama wewe si baadhi ya hao naowasema mimi hutaguswa na kama umeguswa...well msg sent.
Halafu sio wote tuko hapa ku endorse infidelity no sweetheart no! ni mume wa mtu period, hakuna cha ananifata, ooh alikuwa first love, ooh nataka staki, kama mdada mwenye heshima zako umepewa utashi wa kuamua jema na baya. mume wa mtu ni mume wa mtu kwishney, huyo shoga yako anao uwezo wa kusema no. hizi zingine longolongo tu na sijui hata ushauri anataka wa nini na wakati kashakubali kununuliwa everything. kama kumegwa tena na mume wa mtu ashamegwa, i can assure you. Na pia hapa kuna maoni mbalimbali usitegemee wote tuje tukwambie roses tupu, sometimes hata thorns pia zipo.
Kwa hivo with all due respect, i still stand with woteva i said firts, i stick to it. Thanks.

With all due respect, it teks 2 to tango.Mume ana equal resposnsibility if not more kwa sababu aliweka vows za kuwa faithful- so chastising one party is doing zero work.hii ni kama ku condemn prostitution.Kama hakungekuwa na demad hawa makahaba wange supply kwa nani???? Wacha kublame one side -singles coz hata nyinyi mulio kwa ndoa munaiba.Its a classic case of pointing one finger at someone when three are pointing at you.
 
Recently rafiki yangu amepigwa transfer akaenda town kwenye her first bf of 3yrs lives.
She is single, he is married with one kid.Huyu rafiki yangu anampenda huyu bwana and
infact husema this was her best boyfriend he was very romantic and loving.
Hawaja onana kimwili since at that time which was many
years ago walikua shule tena waokovu.Ananieleza kuwamba sexual chemistry ama tension
iko very high between them.Huyu rafiki yangu alikuwa amepanga kuavoid contact but its a
small town imebidi wakutane.The guy really wants her,amemnunulia vitu na kumsaidia sana
tena anamwonyesha mapenzi na uzuri.pls advice vile anaweza avoid kutumbukia kwenye
majaribu haya.The lady anamtamani huyu bwana bcoz they only kissed and she missed
his sexual love.

She should count her losses and let him go … ni mume wa mtu. Mambo hayo yameishatukuta wengi …the good thing ni kwamba wanakujaga wengine kuponya kidonda cha penzi. Mungu atampa wa kwake and in time she will forget about him …but she has to let him go!
 
Hapo ni mimba zisizotarajiwa ndio kitu kinachosubiriwa kwa hamu.
recently rafiki yangu amepigwa transfer akaenda town kwenye her first bf of 3yrs lives.
She is single, he is married with one kid.huyu rafiki yangu anampenda huyu bwana and
infact husema this was her best boyfriend he was very romantic and loving.
Hawaja onana kimwili since at that time which was many
years ago walikua shule tena waokovu.ananieleza kuwamba sexual chemistry ama tension
iko very high between them.huyu rafiki yangu alikuwa amepanga kuavoid contact but its a
small town imebidi wakutane.the guy really wants her,amemnunulia vitu na kumsaidia sana
tena anamwonyesha mapenzi na uzuri.pls advice vile anaweza avoid kutumbukia kwenye
majaribu haya.the lady anamtamani huyu bwana bcoz they only kissed and she missed
his sexual love.
 
Sijui about wokovu at this point ama kanisa anhudhuria as such but point yangu is that walipokuwa bf/gf hawakufanya mapenzi kwa miaka 3 kwa sababu rafiki yangu alikuwa saved.

wewe haumjui vizuri huyo rafiki yako, rudi kamwulize vizuri ndo ulete mada hii, huoni kama tunajadili kitu ambacho si kamilifu? tunatakiwa kujua kila kitu in detail ndo tutaweza kutoa mawazo mazuri ya kumsaidia, kama hatujeeleweshwa vizuri tutakuwa tunapoteza muda. kusemak weli, ni mimi sikukuelewa vizuri, sema nimechelewa kuja kupost hapa, ila sidhani kama uyo mtu kaokoka au umepachika tu. uwe na uhakika na unachoongea, kama hauna uhakika utachafua dini za watu bureee. au ndo lengo lako?
 
siku hizi nishakuwa fan wa nyumba ndogo...sijui kwa nini....

mwambie dada wa watu aenjoy maisha,kwani mafupi...

yeye ni second best,na nafasi yake haitabadilika mwambie asijisahau akacomplicate mambo,mimba ama magonjwa ni vitu vya kuepuka!...hivyo condom ni muhimu......

sijui kwa nini tunapenda kumlaumu mwanamke,na wakati dhahiri mwenye makosa hapo ni huyo mwanaume ambaye anajijua kabisa ameoa,ana mke ndani na bado anamfata mtu wake wa zamani,

Mnajuaje labda ndio sasa ametambua amefanya makosa kumuoa huyo mke aliye naye??

Nimewaona wanawake wengi ambao ni bibi wa kuongeza akipata mazuri yote while wife original ametupwa so sometimes its not second best - mwanaume roho ikitoka kwako -ole wako - it wont matter kama alikuvisha pete juu ya milima au mbinguni.
 
New development: Bwana huyu anataka sasa waelope to the States! Ametoka kuniambia that she wants nothing to do with the guy coz kama anaweza tupa family yake esp mtoto wake- how can she trust him????? Nimemjua kwa muda kuwa mtu na principles zake - btw being a christian does not mean you are above these things of these world wacheni kujifanya malaika kwa wale munadai kuchafuliwa dini - hata daudi ambaye Mungu alimwita a man after my own heart yet he killed Uriah so that he could get his beautiful wife. And Abraham the father of faith to save his life alimdanganya pharaoh that Sarah alikuwa dada yake - incase Pharaoh akitaka Sarah awe mkewe! Are u greater than these???????? If not mbona munasema mtu aliyemwokovu hawezi ku struggle na hisia za kimwili na kimapenzi????

Thanks All for the great advice! The rest :Remove the forest in ur eye b4 seeing the speck in others!
 
You have greatly misinterpreted the Bible!

Na hatufanyi makosa so long as our forefathers walifanya makosa!!, thus it becomes our right to SIN!

aah aah It simply doesn't work like that my dear!

Pole sana! I pray for you!
 
New development: Bwana huyu anataka sasa waelope to the States! Ametoka kuniambia that she wants nothing to do with the guy coz kama anaweza tupa family yake esp mtoto wake- how can she trust him????? Nimemjua kwa muda kuwa mtu na principles zake - btw being a christian does not mean you are above these things of these world wacheni kujifanya malaika kwa wale munadai kuchafuliwa dini - hata daudi ambaye Mungu alimwita a man after my own heart yet he killed Uriah so that he could get his beautiful wife. And Abraham the father of faith to save his life alimdanganya pharaoh that Sarah alikuwa dada yake - incase Pharaoh akitaka Sarah awe mkewe! Are u greater than these???????? If not mbona munasema mtu aliyemwokovu hawezi ku struggle na hisia za kimwili na kimapenzi????

Thanks All for the great advice! The rest :Remove the forest in ur eye b4 seeing the speck in others!

Dada, hakuna anayejifanya kama malaika, tunaongea tu ukweli. bila shaka mtu mwenyewe anayeongelewa anaweza kuwa ni wewe mwenyewe, kama si wewe basi sawa. ninachoweza kukuambia, kama ulikuwa umeokoka, na umeamua kuzini na mme wa mtu, umeyarudia matapishi yako ya zamani. kama unatapatapa ukiachwa na Mungu kama sauli alivyokuwa anatapatapa, utahangaika sana, na mabaya mengi yako mbele yako. ninachokushauri ni kitu kimoja, sauli alikuwepo kipindi Yesu alikuwa hata hajazaliwa, hivyo neema ya wokovu haikuwepo. kwasasa Yesu yupo, Damu yake inaweza kukusafisha dhambi zako zote na kukuondolea udhalimu wote. mtafuteni Bwana maadam anapatikana, mwiteni maana yu karibu, mtu mbaya na aiache njia yake mbaya na amrudie Mungu wake naye atamsamehe, mtu asiye haki na aache mawazo yake, na amrudie Mungu wake naye atamsamehe kabisa.

mbele yako kuna milango miwili, mlango wa uzima na ule wa laana/maangamizi. you are free to choose any of the two. Mungu bado anakupenda pamoja na yote. achana na mawazo mabaya, mrudie Mungu wako, naye atakusamehe. kama hautafanya hivyo, nakuhakikishia, utapata shida sana mbeleni. ni heri mtu ambaye hajui anachokifanya akatenda kosa kuliko yule anayejua anachofanya, hata kama tamaa ya zinaa ina nguvu, lakini ukweli bado uko palepale, kama ukisalenda kwa Mungu kwa kumaanisha, Mungu atakushindia. atakushindia ukimbie hata kwa miguu kama alivyofanya Yusufu. Yusufu alisema, "nimtendeje Mungu dhambi kubwa namna hii?'", Mungu amefanya mangapi kwako hadi umsaliti hivyo, Mungu amekuwa mwaminifu kwako kwa mambo mengi sana, hata umsaliti?

nimeona wengi wamefanya kosa kama hili. God reduced them to the ground, ujue ukiwa na kiburi cha kitu fulani, labda kwani unajiona mzima, una afya, kazi etc, Mungu humshusha chini mwenye kiburi, Mungu ataviondoa vyote hivyo mkononi mwako na utarudi mtaani kuombaomba. Kumbuka alivyofanya kwa mfalme nebukadneza hadi akaenda kula majani kama ng'ombe...hadi pale utakapoona kumbe Mungu alikuwa wa muhimu. KUIBA NDOA YA MTU KUTAKUPATIA LAANA KUBWA, NA SHETANI AMESHATEGA MTEGO MBELE YAKO NDO MAANA ANAMTUMIA UYO MWANAUME KUKUVUTA UINGIE ILI AKUNASE, NA KATU HAUTATOKA HUMO.Mungu akusaidie.
 
New development: Bwana huyu anataka sasa waelope to the States! Ametoka kuniambia that she wants nothing to do with the guy coz kama anaweza tupa family yake esp mtoto wake- how can she trust him????? Nimemjua kwa muda kuwa mtu na principles zake - btw being a christian does not mean you are above these things of these world wacheni kujifanya malaika kwa wale munadai kuchafuliwa dini - hata daudi ambaye Mungu alimwita a man after my own heart yet he killed Uriah so that he could get his beautiful wife. And Abraham the father of faith to save his life alimdanganya pharaoh that Sarah alikuwa dada yake - incase Pharaoh akitaka Sarah awe mkewe! Are u greater than these???????? If not mbona munasema mtu aliyemwokovu hawezi ku struggle na hisia za kimwili na kimapenzi????

Thanks All for the great advice! The rest :Remove the forest in ur eye b4 seeing the speck in others!

so what are you trying to prove to us? kama hutaki ushauri wanaotoa watu umeomba ushauri wa nini? kama ulijua kwamba hata Daudi na Abraham and so on walifanya dhambi na ni wapendwa wa Mungu, nini kinakukwaza? why not go ahead and screw the guy? Coz with your reaction, you make me believe its you and not your friend. Yes some of us have refused to endorse that. But that doesnt mean you cant decide on your own. All the best in America dear.
 
Watu wanapenda kuja kama third part hapa sijui kwa nn!! afadhali umesoma katikati ya mistari!
 
Back
Top Bottom