Married ex

Haya maneno yanakutoka kwakuwa weye sio mkewe eeh! Hebu geuza mkondo alafu sikilizia utamu!

hahaaha naingia ndoani nikijua kuwa wanawake tuko wengi kuliko wanaume,it is sooo unrealistic kuwaza kuwa mume ni wako mwenyewe....infact kama niko ndoani ndio sina presha kabisa najua ataenda aendako afu atarudi,hao wadada wengine(kina dada sophy)...sidhani kama wana 'security' kama wale wenye ndoa....
 
"Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa. Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti. Ndugu zangu wapenzi, msidanganyike. " (Yakobo 1:14-16).
 
Ukishikwa Shikamana and when things gets tough; let the tougher get going. Wazungumzane tu kwani kuna ubaya wowote?
 
Unajua bwana kama mtu amekupenda na ukampa nafasi, sidhani kama hizi hadithi za ushauri zinafanya kazi. Jamaa watakuwa wanaendeleza kamchezo tu hizi zinazopigwa hapa ni story.
 
Recently rafiki yangu amepigwa transfer akaenda town kwenye her first bf of 3yrs lives.
She is single, he is married with one kid.Huyu rafiki yangu anampenda huyu bwana and
infact husema this was her best boyfriend he was very romantic and loving.
Hawaja onana kimwili since at that time which was many
years ago walikua shule tena waokovu.Ananieleza kuwamba sexual chemistry ama tension
iko very high between them.Huyu rafiki yangu alikuwa amepanga kuavoid contact but its a
small town imebidi wakutane.The guy really wants her,amemnunulia vitu na kumsaidia sana
tena anamwonyesha mapenzi na uzuri.pls advice vile anaweza avoid kutumbukia kwenye
majaribu haya.The lady anamtamani huyu bwana bcoz they only kissed and she missed
his sexual love.

Dada, kwa kukusaidia, kwanza kabisa NAOMBA UDEFINE "UWOKOVU" WA HUYU RAFIKIYAKO, ni wokovu wa aina gani according to you, ameokokaje, anasalije na anasali wapi etc. hapo ndo utaeleweka kwa upande wangu. kwanini nasema hivi, ni kwasababu just because of your statement "waokovu", ume spoil waokovu wengine wote kuonekana kama ni wazinzi tu, hivyo kuna umuhimu wa wewe kueleza ni mwokovu wa vipi na wa wapi etc. mtu aliyeokoka hawezi kufanya kitu kama hicho, kama ameokoka na kukaa kwenye kanisa linalofundisha mafundisho ya kimungu. kama atafanya hivyo, Mungu atamshughulikia fasta fasta ili kuokoa kondoo wake. Mungu wetu ana huruma sana lakini pia hadhihakiwi....so, labda ungesema "NI MWOKOVU ALIYERUDI NYUMA NA KUACHA WOKOVU" ndo maana anatamani uzinzi. mtu aliyezaliwa kwa roho tamaa za mwili huwa zinaunguzwa na nguvu ya Mungu, Mungu anamsaidia kushinda dhambi kwasababu hatushindi dhambi kwa nguvu zetu sisi bali kwa uwezo wa Mungu ndo maana Yesu alikuja akafa kwaajili ya hilo, sisi tulishindwa.

kama ni wewe lakini umetumia tu jina la "rafiki yangu", naomba nikupe ushauri, kama ulishawahi kuokoka, ndoana kubwa kuliko zote ambazo shetani huwa anatumia kuwanasa watu waliookoka ili warudi nyuma na yeye awamalize, ni ndoana ya mapenzi kama ulivyoeleza hapa. nakushauri usifanye icho kitu, hauwezi kushinda kwa nguvu zako, mwombe Mungu aondoe hiyo kitu moyoni, mwambie uyo jamaa aachane na wewe kwasababu atakuangamiza roho yako muda si mrefu, hata kama ulishapokea vitu, hata kama ulishakubali kukiss au kufanya naye kitu lakini haujafanya, USIENDE KUFANYA, KUMBUKA, KUNA WATOTO WAWILI WA BABA MMOJA WALITUMWA, MMOJA AKASEMA SITAKI ILA BADAYE ALIJIHISI VIBAYA AKAENDA, MWINGINE ALISEMA NAENDA LAKINI BADAYE HAKWENDA KABISA, BABA ALIKUJA KUMPA IJARA YULE ALIYEENDA HATA KAMA HAKUSEMA KUWA ATAKWENDA NA YULE ALIYEKUBALI LAKINI HAKWENDA HAKUPATA KITU. so, hata kama ulikuwa umefika mbali, stop it righ there, mwambie jamaa umeamua kutokumsaliti Mungu wako kwa dhambi kama hiii, hivyo aende mbali na achukue vitu vyake vyote kama akitaka. NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE NA MALAZI YAWE SAFI, nakwambia, kati ya vitu ambavyo unaweza kuja kujilaumu badaye ni kuiba ndoa ya mtu, Mungu atakupiga vibaya sana hadi utaaibika. mtu huvuna kile alichopanda ujue, kama wewe unaiba mume wa mwenzio, na wewe kuna siku utaibiwa mara mia na utaumia sana, kama wewe unalala na vitoto vya shule na watoto wako watakuja kulalwa na watu wakati wako tu shule, chochote ufanyacho utalipwa tena kwa kibaba cha kujaa hadi kumwagika.

dhambi zote ni sawa, lakini Mungu amedhihirisha kabisa kuwa dhambi ya uzinzi ni special sin kwasababu haifanyiki nje ya mwili bali ndani ya mwili..hivyo adhabu yake huwa ni kubwa, utaachwa na Mungu na shetani atakugaragaza hadi utalia Mungu atakuwa haonekani kwako, huwezi jua ni kwanini hadi leo upo, ni neema ya Mungu, Mungu AMEFNAYA MANGAPI KWENU HADI MFIKIE HALI KAMA HIVYO, Mungu amewafanyia mambo mengi mno mazuri, je umsaliti kwa kitu kama hicho haujui kama Mungu anakuona? unaamua kwenda kwa shetani hivihivi wakati Mungu anakuona? nakushauri ubadili mwelekeo haraka kabla mambo hayajakuharibikia, kama utafanya shingo yako ngumu, itavunjika na hakutakuwa na mtu wa kukupatia dawa...wakati mlango ungalipo ingia kwasababu kuna wakati utafungwa na utatafuta malango hautauona.

maadamu neema ya Mungu bado iko juu yako itumie, kwasababu kuna wakati itakapoondoka utatafuta hautaiona. wakati upo mzima wa afya na kila kitu mshukuru Mungu kwasababu kuna siku badala ya kukaa hapo kwenye computer uandike kitu utajikuta umelala kwenye kitanda ICU hata computer wala JF haipo, na hakuna wa kukufariji na Mungu umeshamwacha na kumsaliti. mwogopeni Mungu enyi ncha zote za dunia, yeye ni Mungu anayestahili kuheshimiwa na kila kiumbe. Mungu akusaidie.
 
I usually hate this kind of thinking- we mtu unafanya kazi you have been independent for such a long time leo mtu anakutia majaribuni kwa kumkununulia vitu unamwita MFADHILI!! PHeww
 
Madam pls respect single people,if every woman was married ungekuwa bibi mkubwa kwako.Hakuna mtu anahaja na waume wa wenzao.Wot happened is that huyu alikuwa first boyfriend.Tena walipendana kwa dhati kwa miaka tatu.Huyu dada alijaribu kuavoid the guy kwa kujuwa yeye ni mume wa mtu but the guy alimtafuta juu chini mpaka akampata.This lady is human,wewe huna hisia zozote kwenye first love wako? Nyinyi ni hypocrates ! Huyu dada kama alikuwa na nia mbovu hata hangekuwa frank na kutafuta mawaidha.Angeendelea kisiri vile wengi huwa wanafanya
so pls constructive advice only.wacha madharau na matusi!
Excuse me? nafikiriri kama unasoma vizuri nimeandika baadhi na tena nikapigia mstari nikitegemea kwamba kama wewe si baadhi ya hao naowasema mimi hutaguswa na kama umeguswa...well msg sent.
Halafu sio wote tuko hapa ku endorse infidelity no sweetheart no! ni mume wa mtu period, hakuna cha ananifata, ooh alikuwa first love, ooh nataka staki, kama mdada mwenye heshima zako umepewa utashi wa kuamua jema na baya. mume wa mtu ni mume wa mtu kwishney, huyo shoga yako anao uwezo wa kusema no. hizi zingine longolongo tu na sijui hata ushauri anataka wa nini na wakati kashakubali kununuliwa everything. kama kumegwa tena na mume wa mtu ashamegwa, i can assure you. Na pia hapa kuna maoni mbalimbali usitegemee wote tuje tukwambie roses tupu, sometimes hata thorns pia zipo.
Kwa hivo with all due respect, i still stand with woteva i said firts, i stick to it. Thanks.
 
well said mamushka! ... ingawa naona umeponda kwa hasira kweli ... khe!
 
I usually hate this kind of thinking- we mtu unafanya kazi you have been independent for such a long time leo mtu anakutia majaribuni kwa kumkununulia vitu unamwita MFADHILI!! PHeww

Si ndio mnasemaga mnatuchuna ama? :becky:

Du eti MFADHILI we unacheza ligi daraja la ngapi? teh teh teh teh
 
Recently rafiki yangu amepigwa transfer akaenda town kwenye her first bf of 3yrs lives.
She is single, he is married with one kid.Huyu rafiki yangu anampenda huyu bwana and
infact husema this was her best boyfriend he was very romantic and loving.
Hawaja onana kimwili since at that time which was many
years ago walikua shule tena waokovu.Ananieleza kuwamba sexual chemistry ama tension
iko very high between them.Huyu rafiki yangu alikuwa amepanga kuavoid contact but its a
small town imebidi wakutane.The guy really wants her,amemnunulia vitu na kumsaidia sana
tena anamwonyesha mapenzi na uzuri.pls advice vile anaweza avoid kutumbukia kwenye
majaribu haya.The lady anamtamani huyu bwana bcoz they only kissed and she missed
his sexual love.

Mambo yote 9, kumi hapo kwenye nyekundu na ni kazi kweli kuliepuka hili mara unapokuwa umeshatamani.
 
Si ndio mnasemaga mnatuchuna ama? :becky:

Du eti MFADHILI we unacheza ligi daraja la ngapi? teh teh teh teh
Ah kuna kuchuna na kuchuna by the way hii si kuchuna maana nae anakigawa - kuchuna ni ile unakula then calendar kwa saaana.

hahahha niko Twiga Baba namba nane oh kumbe ni Chabruma!
 
Hili jaribu ni gumu sana. Binafsi sikumbuki kama nimewahi kufanikiwa kumkatalia mwanamke aliyenitongoza au yule anayejileta kwa utaratibu wa kunitaka, ni ngumu sana kukataa hasa kama ni mzuri. Na of course wale wanawake wanaojihisi 'si wazuri' pia huwa hawana confidence ya kumtokea mwanaume. Ndio maana dada zetu ni waelewa sana, mwanamke akiona shogake anamsalandia mumewe anamshushia valangati huyo mwanamke mwenzie maana anajua mwanaume hataweza kukataa. Kwa msingi huu, namwomba sana huyu dada amwache huyo mume wa mwenzie, anamweka katika mazingira magumu sana.
 
Recently rafiki yangu amepigwa transfer akaenda town kwenye her first bf of 3yrs lives.
She is single, he is married with one kid.Huyu rafiki yangu anampenda huyu bwana and
infact husema this was her best boyfriend he was very romantic and loving.
Hawaja onana kimwili since at that time which was many
years ago walikua shule tena waokovu.Ananieleza kuwamba sexual chemistry ama tension
iko very high between them
.Huyu rafiki yangu alikuwa amepanga kuavoid contact but its a
small town imebidi wakutane.The guy really wants her,amemnunulia vitu na kumsaidia sana
tena anamwonyesha mapenzi na uzuri.pls advice vile anaweza avoid kutumbukia kwenye
majaribu haya.The lady anamtamani huyu bwana bcoz they only kissed and she missed
his sexual love.
Sikua nimeiona hii... eti chemistry iko very high between them------ Ingekuwa high kaka asingeoa mwingine, angemtafuta hadi ampate mchemistry wake ah. Haya ni maneno ya kuhalalisha na kutengeneza ushauri ambao utakuwa in her favor. Hapana bwana mshauri ajitahidi kumsahau huyo ni mume wa mtu amuache!!

Hivi mbona naona kama kuiba mume wa mtu haiogopeshi kama kuiba mke wa mtu?? Au wanaume huwa wakali zaidi yetu wakigundua wanaibiwa mke??
 
Ashindwe na alegee, muda wake ulishapita, aachane na historia. Kwani katika miaka yote hiyo mitatu yeye ajamegwa? Apime kwanza ukimwi asije akaharibu future ya wenzake. Anatamaa sana, hamna cha chemistry wala mathematics. Aendelee na maisha yake, kama ishu ni mji wanaoishi si ana kwake kwanini ajilengeshe lengeshe.

Ashindwe, tena nakemea huyo pepo aliyenaye! Tokaaaah!

Usimwombee maana kisha legea tayari! Mwombee agangamale!
 
Recently rafiki yangu amepigwa transfer akaenda town kwenye her first bf of 3yrs lives.
She is single, he is married with one kid.Huyu rafiki yangu anampenda huyu bwana and
infact husema this was her best boyfriend he was very romantic and loving.
Hawaja onana kimwili since at that time which was many
years ago walikua shule tena waokovu
.Ananieleza kuwamba sexual chemistry ama tension
iko very high between them.Huyu rafiki yangu alikuwa amepanga kuavoid contact but its a
small town imebidi wakutane.The guy really wants her,amemnunulia vitu na kumsaidia sana
tena anamwonyesha mapenzi na uzuri.pls advice vile anaweza avoid kutumbukia kwenye
majaribu haya.The lady anamtamani huyu bwana bcoz they only kissed and she missed
his sexual love.

Fafanua hapo kwenye blue, sijaelewa tafadhali.
 
Dada, kwa kukusaidia, kwanza kabisa NAOMBA UDEFINE "UWOKOVU" WA HUYU RAFIKIYAKO, ni wokovu wa aina gani according to you, ameokokaje, anasalije na anasali wapi etc. hapo ndo utaeleweka kwa upande wangu. kwanini nasema hivi, ni kwasababu just because of your statement "waokovu", ume spoil waokovu wengine wote kuonekana kama ni wazinzi tu, hivyo kuna umuhimu wa wewe kueleza ni mwokovu wa vipi na wa wapi etc. mtu aliyeokoka hawezi kufanya kitu kama hicho, kama ameokoka na kukaa kwenye kanisa linalofundisha mafundisho ya kimungu. kama atafanya hivyo, Mungu atamshughulikia fasta fasta ili kuokoa kondoo wake. Mungu wetu ana huruma sana lakini pia hadhihakiwi....so, labda ungesema "NI MWOKOVU ALIYERUDI NYUMA NA KUACHA WOKOVU" ndo maana anatamani uzinzi. mtu aliyezaliwa kwa roho tamaa za mwili huwa zinaunguzwa na nguvu ya Mungu, Mungu anamsaidia kushinda dhambi kwasababu hatushindi dhambi kwa nguvu zetu sisi bali kwa uwezo wa Mungu ndo maana Yesu alikuja akafa kwaajili ya hilo, sisi tulishindwa.

kama ni wewe lakini umetumia tu jina la "rafiki yangu", naomba nikupe ushauri, kama ulishawahi kuokoka, ndoana kubwa kuliko zote ambazo shetani huwa anatumia kuwanasa watu waliookoka ili warudi nyuma na yeye awamalize, ni ndoana ya mapenzi kama ulivyoeleza hapa. nakushauri usifanye icho kitu, hauwezi kushinda kwa nguvu zako, mwombe Mungu aondoe hiyo kitu moyoni, mwambie uyo jamaa aachane na wewe kwasababu atakuangamiza roho yako muda si mrefu, hata kama ulishapokea vitu, hata kama ulishakubali kukiss au kufanya naye kitu lakini haujafanya, USIENDE KUFANYA, KUMBUKA, KUNA WATOTO WAWILI WA BABA MMOJA WALITUMWA, MMOJA AKASEMA SITAKI ILA BADAYE ALIJIHISI VIBAYA AKAENDA, MWINGINE ALISEMA NAENDA LAKINI BADAYE HAKWENDA KABISA, BABA ALIKUJA KUMPA IJARA YULE ALIYEENDA HATA KAMA HAKUSEMA KUWA ATAKWENDA NA YULE ALIYEKUBALI LAKINI HAKWENDA HAKUPATA KITU. so, hata kama ulikuwa umefika mbali, stop it righ there, mwambie jamaa umeamua kutokumsaliti Mungu wako kwa dhambi kama hiii, hivyo aende mbali na achukue vitu vyake vyote kama akitaka. NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE NA MALAZI YAWE SAFI, nakwambia, kati ya vitu ambavyo unaweza kuja kujilaumu badaye ni kuiba ndoa ya mtu, Mungu atakupiga vibaya sana hadi utaaibika. mtu huvuna kile alichopanda ujue, kama wewe unaiba mume wa mwenzio, na wewe kuna siku utaibiwa mara mia na utaumia sana, kama wewe unalala na vitoto vya shule na watoto wako watakuja kulalwa na watu wakati wako tu shule, chochote ufanyacho utalipwa tena kwa kibaba cha kujaa hadi kumwagika.

dhambi zote ni sawa, lakini Mungu amedhihirisha kabisa kuwa dhambi ya uzinzi ni special sin kwasababu haifanyiki nje ya mwili bali ndani ya mwili..hivyo adhabu yake huwa ni kubwa, utaachwa na Mungu na shetani atakugaragaza hadi utalia Mungu atakuwa haonekani kwako, huwezi jua ni kwanini hadi leo upo, ni neema ya Mungu, Mungu AMEFNAYA MANGAPI KWENU HADI MFIKIE HALI KAMA HIVYO, Mungu amewafanyia mambo mengi mno mazuri, je umsaliti kwa kitu kama hicho haujui kama Mungu anakuona? unaamua kwenda kwa shetani hivihivi wakati Mungu anakuona? nakushauri ubadili mwelekeo haraka kabla mambo hayajakuharibikia, kama utafanya shingo yako ngumu, itavunjika na hakutakuwa na mtu wa kukupatia dawa...wakati mlango ungalipo ingia kwasababu kuna wakati utafungwa na utatafuta malango hautauona.

maadamu neema ya Mungu bado iko juu yako itumie, kwasababu kuna wakati itakapoondoka utatafuta hautaiona. wakati upo mzima wa afya na kila kitu mshukuru Mungu kwasababu kuna siku badala ya kukaa hapo kwenye computer uandike kitu utajikuta umelala kwenye kitanda ICU hata computer wala JF haipo, na hakuna wa kukufariji na Mungu umeshamwacha na kumsaliti. mwogopeni Mungu enyi ncha zote za dunia, yeye ni Mungu anayestahili kuheshimiwa na kila kiumbe. Mungu akusaidie.

Sijui about wokovu at this point ama kanisa anhudhuria as such but point yangu is that walipokuwa bf/gf hawakufanya mapenzi kwa miaka 3 kwa sababu rafiki yangu alikuwa saved.
 
Sikua nimeiona hii... eti chemistry iko very high between them------ Ingekuwa high kaka asingeoa mwingine, angemtafuta hadi ampate mchemistry wake ah. Haya ni maneno ya kuhalalisha na kutengeneza ushauri ambao utakuwa in her favor. Hapana bwana mshauri ajitahidi kumsahau huyo ni mume wa mtu amuache!!

Hivi mbona naona kama kuiba mume wa mtu haiogopeshi kama kuiba mke wa mtu?? Au wanaume huwa wakali zaidi yetu wakigundua wanaibiwa mke??

Kuiba mke wa mtu unatakiwa uwe na moyo mgumu kama wa mwendawazimu vile!
 
Back
Top Bottom