Married… but single

it is nt like pretending,it is the convinience. kuna watu wanapendana bt kitu kimoja tu kinawatenganisha. kama mna ustaarabu wa kutosha,it might workout bt nt forever.up until it is convinient for both of u. ukitaka kwenda kwa wachumba zako unaaga watoto u will be out of town. sasa na ww ndo zile za wanaume wa kibongo,bibie anakuambia im nt coming back this wknd,sijui kama utapata usingizi,lol
<br />
<br />

hapo ndipo tunapojua nani anafuatilia mafundisho ya ndoa na yupi hafuatilii

anyway lets agree to differ but i wouldnt ruin my "pena raha style" kwa kupretend nakaa na mtu ili tu kuziba pua
 
Kibongobongo hiyo ni ngumu sana. Ila inakaadvantage kidogo. Kwanza inarahisisha taratibu za kurudiana pale mtakapoona inafaa na vlevle siku mkiamua kupasha kiporo moto, distance is almost zero!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom