MARRIAGE IS ALMOST HERE,but kazi za nje hazitaki kuelewa!NIENDELEE AU NISIENDELE NAO?

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
I AM TOTALLY CONFUSED MY PEOPLE!

kila nikiwaambia ''...jamani eeh,nimeamua kuoa LEAVE ME ALONE!..''wananitishia hata kuweka pingamizi kanisani.

wanasisitiza ''WEWE OA TU,LAKINI SISI TUNAOMBA NAFASI YETU IHESHIMIKEE!..''

jamani nisaidieni jamani...!NIENDELEE NAO AU NISIENDELEE NAO?

NB:kuna vitu ambavyo huwa vinanishinda LAKINI SIO KUTUNZA SIRI JAMANI!(..i think i was born for this!).na wife hana analolijua kabisa kuhusu hili

NISAIDIENI WAKUU
 
Waweke pingamizi kanisani uliwaoa au umezaa nao?! Hujataka tu mpwa kuachia mfupa wa jirani wakati ng'ombe mzima unaye ndani
 
Dah mpwa kazi ipo....kama umeamua kufuta past na kuanza afresh basi naamini haitakuwa ngumu kwako kufanya maamuzi sahihi,piga moyo konde vitisho visikutetereshe mpwa weka msimamo songa mbele
 
ahsante sinani!
umemaanisha niwamwage totally!
kwanini wamekuwa ving'ang'anizi?
 
ni kina nani kwanza...nyumba ndogo umeanza mapema ndugu utapona...kma ni vimada wa zamani hapo sioni noma unless kulikuwa kuna ahadi kuwa utawaoa ama kuna watoto etc...wakileta za kuleta wachukulie restraining orders!! hilo kanisa walione paa siku ya harusi!
 
Geoff hao hawana lolote wanachimba mkwala usio na nguvu
huna mkataba nao zaidi ya kubanjuana
hata kama ulicheza faulo ukajipatia katoto na mmoja wao haina nguvu bado
wanaweke pingamizi kama kina nani? ama uliwahi kufunga ndoa kwa DC tuambizane
Mbona inaonyesha enzi zako ulikuwa mtambo kabla hujaamua maamuzi haya ya hekima na busara
 
SHUKRANI MKUU!
nitawamwaga...
naona walizoea mziki wangu
 
Geoff hao hawana lolote wanachimba mkwala usio na nguvu
huna mkataba nao zaidi ya kubanjuana
hata kama ulicheza faulo ukajipatia katoto na mmoja wao haina nguvu bado
wanaweke pingamizi kama kina nani? ama uliwahi kufunga ndoa kwa DC tuambizane
Mbona inaonyesha enzi zako ulikuwa mtambo kabla hujaamua maamuzi haya ya hekima na busara
ha ha ha!ahsante mkuu wangu!
wameula wa chuya hawa
 
Mhh shemeji ni wewe? yani una nyumba ndogo hata kabla hujafunga ndoa.Unaoneka umekuwa kroniki wewe na huu ugonjwa. Sijui nikusaidieje? sababu tatizo sio hao wanaokung'ang'ania ila YOU ARE THE PROBLEM YOURSELF.
Labda maombi ya kitume na kinabii yatakufaa.tukemee hili PEPO litoke.
 
umesikika shemeji!
hawa nitawapiga chini

lakini kwanini wanakuwa ving'ang'anizi wakati nimewaambia NINAOA(seriously,and so soon!)
 
Hahaha! Mpwa! MPwa??? Hahaha! LOL! I know you know what you are asking! SIKUWEZI!
mpwa mpwaaaaaaaaaa! ha ha ha ha ah!KAMATA SENKSI!
niambie basi
KWANINI WAMEKUWA VING'ANG'ANIZI?
 
hivi ina maana mpaka sasa bado unaonana nao achia mbali kuendelea nao? una yeyote uliezaa nae? kama huna nani wa kukutisha hapo, waweke kipingamizi cha namna gani hapo sasa jamani, hebu oa huko.
 
UMESIKIKA love!
nitawamwaga so soon!
SINA MKATABA NA MTU SO FAR

SWALI:kwanini wamekuwa ving'ang'anizi?????kwanini wanasema hata kama nikioa niendelee nao?????wakati mimi nimewaomba waniache?
 
mpwa mpwaaaaaaaaaa! ha ha ha ha ah!KAMATA SENKSI!
niambie basi
KWANINI WAMEKUWA VING'ANG'ANIZI?

mbona hapa mie naona kama wewe ndio king'ang'anizi?...hakuna anaeweza kukung'ang'ania kama wewe humtaki/huwataki na ukawaweka wazi kwa hilo.
 
mbona mimi nawaambia kila siku waniache huru HAWATAKI?
 
Mhh shemeji ni wewe? yani una nyumba ndogo hata kabla hujafunga ndoa.Unaoneka umekuwa kroniki wewe na huu ugonjwa. Sijui nikusaidieje? sababu tatizo sio hao wanaokung'ang'ania ila YOU ARE THE PROBLEM YOURSELF.
Labda maombi ya kitume na kinabii yatakufaa.tukemee hili PEPO
litoke.

ZD huyu Goeff kweli sijui anahitaji maombi ya namna gani....naogopa na sijui nianzie wapi kumadvise, ngoja nitulie
 
Back
Top Bottom