Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marlow versus kamuhanda - tafakuri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAGUNJA, Oct 14, 2012.

 1. M

  MAGUNJA JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 344
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Nimestushwa na kusikitishwa na mauaji ya RPC wa Mwanza. Nikaanza tafakuri ......
  Hivi kwanini wamwue? Wanadamu upendo umeenda wapi?.........
  Kama ilibidi RPC mmoja aondoke kwanini asiwe ..........?
  Hapana nahukumu! kwanza mipango ya Mungu si mipango yetu!
  Au na yeye kunayo kama ya huyu mwingine aliyofanya? sijui. Labda wakati ule wengine walishambuliwa kwa mapanga lakini hakuonekana kujali! Hapana. Sasa ni nini....
  Mbona wengine waliimba "wema hawana maisha"..... bila shaka alikuwa mwema.
  Hivi ingetokea kwa huyu mwingine watu wangepokeaje?..... Lakini wote mbele ya Muumba ni sawa. Kila mmoja na siku yake.......
  Nikakumbuka wimbo mwingine "mwombee adui yako aishi siku nyingi ili unapobarikiwa ajionee mwe..."
  Wakati mwingine mambo hayawi tunavyofikiri!!!!
  Mimi ni hivi. Wengine mmetafakari je?
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 15,373
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Marlow wa wapi mkuu??
  Sijakusoma ati??
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,158
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Sasa Marlaw amehusikaje?
   
 4. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Bora ingekuwa kamkanda wa kuleeee.......kwa mwana wa ngozi maana mshahara wa dhambi ni..........
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni Barlow au Marlow? Ujumbe haueleweki.
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,000
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  GT wataelewa...
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,132
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Marlow si ni muimbaji huyo au ulimaanisha Barlow?
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 12,193
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Huyu ni mwimbaji ,mwingine ni polisi, tuta contrast vp?
   
 9. mimixoxo

  mimixoxo Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kula tano mdau, hapa ningekugongea like fasta, yani watu wanaacha discuss point wanatafuta makosa alipokosea
   
 10. Mtukuru

  Mtukuru Senior Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora ungekufa wewe!!!!!!!!!1
   
 11. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,049
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  hao wasioelewa ni waathirika wa facebook-magamba. Big up sn GT mwenzangu
   
 12. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,422
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Makamuhanda wote wana tabia za kibabe babe sana. Kwa mfano ni huyu Kamuhanda wa Mwanza ambaye sasa ni marehemu alikuwa anatoka na mke wa mtu usiku wa manane, unategemea nini japo? Makuhanfa wote huwa wanafanana ubabe ubabe.
   
Loading...