Hebrew
JF-Expert Member
- Jul 3, 2008
- 559
- 167
...Correction mkuu, aliimba nyimbo moja tu kwenye album nzima na bila ubishi ndiyo iliyokuwa hit na ilisimama vilivyo, i used to criticize it as well ila si mbaya kihivyo, producer wa Album alikuwa Stephen Marley.
Kweli mkuu!! Yeye aliimba tu "Turn Your Lights Down Low". Ila mimi album ile nzima sikuipenda..nyimbo za Bob (RIP) wangeziacha kama zilivyo!!