Marking your territory...

Dear Wapendwa
Natumaini wote mu wazima wa afya. Nisameheni kwa utitiri wa Threads wajameni mwezenu mie mwanafunzi nina kiu ya elimu hii ya kuboresha mapenzi!.

Najua kuwa wengi wetu tunapoanza mahusiano na tuwapendao tunakuwa na hamu ya kuufahamisha ulimwengu mzima kuwa Flani ni mpenzi wangu! Na kwa upande mwingine sometimes hata tunapokuwa tumekwishasimika mahusiano yetu kwa let say ndoa takatifu au tu uzao huwa bado tunapenda kutangazia umma kuwa am Mrs flani au Flan keshawahiwa na pengine hata kama una uhakika na ndoa yako basi bado tu tunajitengenezea njia ya kufumuza 'mwizi'.

Mfano kwa wanawake ambao ni single mara nyingi huwa tunaweka uwepo wetu kwenye 'maisha' ya mpenzi mfano, nyumbani kwake tukienda klumtembelea basi mdada utahakikisha umeacha japo nguo ya ndani kama si khanga ili mradi kuji'homkisha' ati. Wengine huenda mpaka an extra mile ya kuhamishia baadhi ya nguo kwa mpenzi ili tu ataekuja ajue kuwa 'the vacant is filled'. Kwa wale wenye ndoa basi mtu anaacha tu kwa gari, iwe viatu/sandoz au khanga au hata handbag au hand lotion!! Ili mradi chochote cha kuweza kutambulisha 'uwepo wake'

Ninaimani kuwa wanaume nao huwa wana'namna' wanavyoweza kumark their territories mfano, wapo wanaume ambao wanademand kupewa a 'proper' introduction pale mnapokutana na mtu; wale ambao akitembea anapenda kukushika kiuno ili mradi tu ule ujumbe wa 'Hiki ni kifaa changu' ufikishwe ipasavyo.

Nauliza
1. Je unafikiri ni muhimu kuweka 'alama'?
2. Kama ndio je ni vitu gani ambavyo mtu anawezavifanya ili ku'mark his/her territory"?? kuhakikisha kuwa watu wanapata ujumbe wa 'MJ1 ni wangu' au 'Hiki ni kifaa changu, kaeni mbali' ) ?? Note mimi si kifaa maana mh labda jifaa!!.


Hii thread ime nikumbusha mbali sana.
Nikiangalia comment zangu natamani kulia. Ila nakumbuka "Big boys don't cry"
 
Back
Top Bottom