Marking your territory...

hii nayo imekaaaje, umeenza uhusiano na mkaka alieachana na mchumba wake, sababu za wao kuachana ni tofauti ya dini, walidumu kwenye uchumba zaidi ya miaka kumi, unaamua kumtembelea huyu kaka nyumbani kwake, unakuta kuna nguo na viatu vingi vya kike, unaamua kumuuliza hivi vitu vya nani, anakwambia ni vya ex wake atakuja kuvichukua, na kwamba hatuajaachana kwa ugomvi, siwezi kumpush aje kuvichukua, siku akiviitaji atakuja kuvichukua, hii nayo ni kumark territory kwa ex wa jamaa kwamba alikuwepo ama ni nini jamani

Kate hii inategemea kama aliyetoa hadithi ya kuachana ni huyo Boyfriend and mtu una uhakika wameachana! Isijekuwa anakuvuta masikio, mapenzi yao bado yana chance. Kama waliwezakuwa pamoja kwa miaka kumi wakijua kabisa kuwa wana dini tofauti, nini kitakachowazuia wasiendelee miaka mingine 10?!

MJ1... ukitaka kujua territory marking muangalie mbwa anavyomark wakati akiwa matembezini

kwa upande wangu i dont mind maa akiweka territory ila sipendi ikiwa too much

Achana na hii kitu eti marking territory wengine ni chumbani tu ukiibuka huko tumbo ndii kama babu alivosema ukiondoka lazima ubebe kila kinachokuhusu .........hapo hamna haja tena ya yeye kujieleza ni wewe kuwaambia watu mhusika ni nani mwenzio alishamaliza kazi siku nyingi.

tushukuru siku hizi kuna vina saba mwe!
Morning after je ?

best unafikir kila kitu kinamezewa miarobaini tunakamatwaga hasaa halafu siunaijua mikesi yake ilivo ya vuruvuru sijui kama kuna marking territory........ tena unajikuta umekuwa mdogo kama piriton acha bana
Morning after je ?

hii nayo imekaaaje, umeenza uhusiano na mkaka alieachana na mchumba wake, sababu za wao kuachana ni tofauti ya dini, walidumu kwenye uchumba zaidi ya miaka kumi, unaamua kumtembelea huyu kaka nyumbani kwake, unakuta kuna nguo na viatu vingi vya kike, unaamua kumuuliza hivi vitu vya nani, anakwambia ni vya ex wake atakuja kuvichukua, na kwamba hatuajaachana kwa ugomvi, siwezi kumpush aje kuvichukua, siku akiviitaji atakuja kuvichukua, hii nayo ni kumark territory kwa ex wa jamaa kwamba alikuwepo ama ni nini jamani
Unaliwa hapo, angevikusanya akaviweka sehemu moja ili akitaka ampelekee boxi lake

best unafikir kila kitu kinamezewa miarobaini tunakamatwaga hasaa halafu siunaijua mikesi yake ilivo ya vuruvuru sijui kama kuna marking territory........ tena unajikuta umekuwa mdogo kama piriton acha bana

Kwa hiyo na wewe unakuwa umependa kuwa marked chauro

Chauro kinywaji pori ndo kipi?? am impressed ujue.
Jamani hakuna raha kama kuwekewa Mark na mtu umpendaye................. !! sijui na hii pia itawekwa kwenye kulet ove lead its way??? maana nawezaamua kuweka mark out of love mjue!

kuna watu wasanii, wanakuacha uweke marks zako huku wanakung'ong'a, mie niliweka kila kitu na sio mie niliyependa kuweka bali alikuwa ananiambia napata shida nikienda niweke vit, kuja kutahamaki ni mwongo, tapeli wa mapenzi

Chauro kinywaji pori ndo kipi?? am impressed ujue.
Jamani hakuna raha kama kuwekewa Mark na mtu umpendaye................. !! sijui na hii pia itawekwa kwenye kulet ove lead its way??? maana nawezaamua kuweka mark out of love mjue!
I smell someone is in love

best unafikir kila kitu kinamezewa miarobaini tunakamatwaga hasaa halafu siunaijua mikesi yake ilivo ya vuruvuru sijui kama kuna marking territory........ tena unajikuta umekuwa mdogo kama piriton acha bana

You sound sooooooooooo confused and disappointed with your current affair eh?

.....unawezaweka hizo markingz zako lakini wengine bana hawana dini wala nini....kama kaacha nguo au vipodozi,mwingine akija ndio anakuwa umemrahisishia kazi,atavitumia akuachie msala mwenyewe akirudi,sijui utajielezaje.

Very interesting thread. Mj 1 huwa nakuaminia sana kwenye thread za mambo ya mahusiano. Binafsi I dont believe in marking territories, hasa kwa kuacha vitu say nguo or viatu sijawahi fanya wala sitafanya , huwa nakusanya kila kilicho changu. sio kwa nia mbaya ila it has not crossed my mind if it makes any difference.

Bora wewe , na tumeambiwa vikanga vyetu tukiacha akija mwingine wanajifutia kwa raha zao lol

Very interesting thread. Mj 1 huwa nakuaminia sana kwenye thread za mambo ya mahusiano. Binafsi I dont believe in marking territories, hasa kwa kuacha vitu say nguo or viatu sijawahi fanya wala sitafanya , huwa nakusanya kila kilicho changu. sio kwa nia mbaya ila it has not crossed my mind if it makes any difference.
You Good Girlie!

exactely dear. na mkifikia kiwango hichi ndio penzi linachanganya sasa, mnafocus kwa kupeana raha tu, hampotezi masaa kwa kuchunguzana ma sim wala kuhojiana kuhusu time schedules. unakua tu na uhakuka kwamba huko alipo anakumiss kama unavo mmiss na akipata muda akakuja au atakuita. Pia anajivunia kua na wewe kama unavo jivunia kua nae. ila mwanzo wote ni mgumu, usichoke mama...
Okay so kama nimekuelewa vema its a matter of kujiamini??!! kuwa ukiamini huyu anakupenda wewe tu basi huna aja ya ku'mark your territory'? ok!

Back
Top Bottom