Marking your territory...

Safi kabisa kajukuu....

Umeona bana........

Mi nlivyoona Masemere wangu ndo kifaa nachopenda kukiingiza kwenye himaya, sikuhangaika sijui kumshika kiuno hazarani, mi nlikamata yeye nikamwambia nataka uwe mama watoto wangu. Naye kwa kuwa alikuwa anataka kumark teritory yake akakubali. Basi mara ndii.....Kilivyojaa nikamwambia baby come this way.......

Ka-Matesha na ka-Mamshanga wetu ndo territory yetu kuu. Hata tukifanya wizi, bado tunarudi nyumbani kwenye himaya yetu......Huko nje ni wizi mtupu, huku ndani ndo kwenye himaya yenyewe.

Narudia tena, for the real and true love........... territory ni ndoa!

Hapo ODM ni moja ya sababu nakupenda.... Msimamo wako hapo....
 
Well said........

MwanajamiiOne anazungumzia yale mapenzi ya kiukweli ya enzi za wazazi wetu. Enzi hizi watu wanajua kabisa yule pale ni Mrs. ODM...... Mr ODM akienda pembeni kidogo wanatongoza na bahati nzuri au mbaya hawakataliwi.....Wanajua kabisa MwanajamiiOne ni mchumba wa The Finest, wanatongoza kama kawaida.........

Acha khanga yako, watu wanaingia room wanafanya matusi wanajifutia khanga zako.
Valisha sijui pete, watu wanaichezea kama wanavyochezea shanga huku wanabanjua amri ya sita
Kamata kiuno hadharani mkiwa kwenye starehe, akienda toilet watu wanachukua namba za simu kesho yake wanakamata kiuno kitandani

MJ1 hiki si kizazii cha kumark teritorry, watakucheka watu! Ni kipindi cha wizi.......wizi mtupu!

Haahahahahah hii ni vere vere asee. Naungana na Chauro mods rudisheni kitufe cha thanks
 
Mh okay kama wewe hutaki, je hao kina wifi hawajawahi kuku'tegeshea' vyao? kuna mwingine akija kukutembelea anaweka alama jikoni au kwenye kabati la nguo na akija mwingine anajua tu kuna rafu imechezwa!
huwa naenda nae step by step so hata aache nni naficha had da dy anakuja narudishia tena palel pale
 
Hahahh Babu ODM leo umefunguka haswa! Aksante sana kwa darasa!!

Hapa nitakuwa nimechanganya madawa nikisema hakuna haja ya kukionea wivu kitu chako cha halali?! Yaani Babu umwonee wivu Bibi?
 
naungana na asprini kwa asilimia mia tatu...!

siku moja moja tunahitaji sana comments zinazoegemea kwenye 'practical life' ya hizi 'wedlocks'!i mean ni muhimu sana tukaelezana 'ukweli' kuhusu hizi ndoa na 'yanayojiri' kwenye haya mahusiano....!

thank you asprini....!
YOU HAVE NAILED IT ALL DUDE!
 
Well said........

MwanajamiiOne anazungumzia yale mapenzi ya kiukweli ya enzi za wazazi wetu. Enzi hizi watu wanajua kabisa yule pale ni Mrs. ODM...... Mr ODM akienda pembeni kidogo wanatongoza na bahati nzuri au mbaya hawakataliwi.....Wanajua kabisa MwanajamiiOne ni mchumba wa The Finest, wanatongoza kama kawaida.........

Acha khanga yako, watu wanaingia room wanafanya matusi wanajifutia khanga zako.
Valisha sijui pete, watu wanaichezea kama wanavyochezea shanga huku wanabanjua amri ya sita
Kamata kiuno hadharani mkiwa kwenye starehe, akienda toilet watu wanachukua namba za simu kesho yake wanakamata kiuno kitandani

MJ1 hiki si kizazii cha kumark teritorry, watakucheka watu! Ni kipindi cha wizi.......wizi mtupu!
ha haaaaaaa haaa haaaa.............mkuu unaonekana kabisa we ni striker hataaare sana
 
Well said........

MwanajamiiOne anazungumzia yale mapenzi ya kiukweli ya enzi za wazazi wetu. Enzi hizi watu wanajua kabisa yule pale ni Mrs. ODM...... Mr ODM akienda pembeni kidogo wanatongoza na bahati nzuri au mbaya hawakataliwi.....Wanajua kabisa MwanajamiiOne ni mchumba wa The Finest, wanatongoza kama kawaida.........

Acha khanga yako, watu wanaingia room wanafanya matusi wanajifutia khanga zako.
Valisha sijui pete, watu wanaichezea kama wanavyochezea shanga huku wanabanjua amri ya sita
Kamata kiuno hadharani mkiwa kwenye starehe, akienda toilet watu wanachukua namba za simu kesho yake wanakamata kiuno kitandani

MJ1 hiki si kizazii cha kumark teritorry, watakucheka watu! Ni kipindi cha wizi.......wizi mtupu!

huu ndio ukweli wenyewe japo unachoma......
 
Safi kabisa kajukuu....

Umeona bana........

Mi nlivyoona Masemere wangu ndo kifaa nachopenda kukiingiza kwenye himaya, sikuhangaika sijui kumshika kiuno hazarani, mi nlikamata yeye nikamwambia nataka uwe mama watoto wangu. Naye kwa kuwa alikuwa anataka kumark teritory yake akakubali. Basi mara ndii.....Kilivyojaa nikamwambia baby come this way.......

Ka-Matesha na ka-Mamshanga wetu ndo territory yetu kuu. Hata tukifanya wizi, bado tunarudi nyumbani kwenye himaya yetu......Huko nje ni wizi mtupu, huku ndani ndo kwenye himaya yenyewe.

Narudia tena, for the real and true love........... territory ni ndoa!
Huyu ana mark territory SINZA, mwingine ana mark territory DOM, mwingine ana mark territory MAKAMBAKO, mwingine ana mark territory TEGETA, mwingine ana mark territory TEMEKE
 
Hahahh Babu ODM leo umefunguka haswa! Aksante sana kwa darasa!!

Hapa nitakuwa nimechanganya madawa nikisema hakuna haja ya kukionea wivu kitu chako cha halali?! Yaani Babu umwonee wivu Bibi?
Mj1 Wivu katika mapenzi haukwepeki... Sasa kama hata hao tunaochakachuana pembeni tunaoneana wivu, ntaachaje kumwonea wivu mtu anayenivulia nguo kila siku?....

Mapenzi ni ubinasfi, mapenzi ni ubinafsi katika umiliki.... Unataka umiliki peke yako. Mtu anapotaka kukusaidia umiliki wa mapenzi lazima wivu ukushike. Na anapofanikiwa kukusaidia umiliki, wivu unabadilika na kuwa hasira..... Hapa ndipo balaa linanzia...... Kama wivu ndo unakupelekea kumark territory ya penzi lako, hii ni hatari zaidi kwa sababu wajanja na wezi sugu wa mapenzi ni wataalamu sana wa kucheza na hizo marks.

Yes, wivu haukwepeki lakini mapenzi ni kumwamini partner wako mpaka pale itakapothibitika hakuna uaminifu.... kumark territory kwa enzi hizi.......dah!
 
Huyu ana mark territory SINZA, mwingine ana mark territory DOM, mwingine ana mark territory MAKAMBAKO, mwingine ana mark territory TEGETA, mwingine ana mark territory TEMEKE

TF wewe mbona za kwako hatusemi maana umeanzia Sinza mpaka huku hungumalwa kwetu

BTW sikuwa na haja mamsapu amark terittory ilikuwa ni njia moja tuu kuhakikisha kuwa nitakachomfanyia hataondoka kwenye himaya
hayo ya kuacha sijui sandals au vinguo vyake au perfumes zake kwangu was not a big deal
Once and for all alipopata kadogoo ilikuwa mark tosha kuwa hapa hakuna atakayeleta utani wala kuingilia himaya yake
 
Mj1 Wivu katika mapenzi haukwepeki... Sasa kama hata hao tunaochakachuana pembeni tunaoneana wivu, ntaachaje kumwonea wivu mtu anayenivulia nguo kila siku?.... Mapenzi ni ubinasfi, mapenzi ni ubinafsi katika umiliki.... Unataka umiliki peke yako. Mtu anapotaka kukusaidia umiliki wa mapenzi lazima wivu ukushike. Na anapofanikiwa kukusaidia umiliki, wivu unabadilika na kuwa hasira..... Hapa ndipo balaa linanzia...... Kama wivu ndo unakupelekea kumark territory ya penzi lako, hii ni hatari zaidi kwa sababu wajanja na wezi sugu wa mapenzi ni wataalamu sana wa kucheza na hizo marks. Yes, wivu haukwepeki lakini mapenzi ni kumwamini partner wako mpaka pale itakapothibitika hakuna uaminifu.... kumark territory kwa enzi hizi.......dah!

Shem ODM nimefurahi umegusia suala la wivu... maana kidogo kulikua na ubishani kua Wivu ni weakness katika mapenzi kua... ni dalili ya kutojiamini... Thou ilikuja onekana tatizo ni jinsi gani wa define Wivu... (alafu leo ulikoamkia uwe unaamkia huko huko kama ndo unamwaga sumu hivi)

Thanks shem, na hivi homeboy wangu yu wapi? Au ndo anamark territory lol? !

Hapo usijali.. hana haja ya kuendelea for kisha mark....lol
 
Muhimu sana kuweka alama, sio tu ili fulani wajue kuwa upo na mme/mpenzi bali huyo mme ahisi uwepo wako hata kama haupo nae kwa muda huo.
 
Shem ODM nimefurahi umegusia suala la wivu... maana kidogo kulikua na ubishani kua Wivu ni weakness katika mapenzi kua... ni dalili ya kutojiamini... Thou ilikuja onekana tatizo ni jinsi gani wa define Wivu... (alafu leo ulikoamkia uwe unaamkia huko huko kama ndo unamwaga sumu hivi)

Hapo usijali.. hana haja ya kuendelea for kisha mark....lol
Wivu ni weakness? hell NO! Kama hata majogoo na mabeberu yasiyokuwa na akili yanaoneana wivu seuze siye binadamu wenye akili na utashi. Shem asikudanganye mtu, wivu ni kipimo cha mapenzi. Bila wivu atajuaje kama unampenda?..... Tatizo ule wivu wa kupitiliza......... Ngoja tusiichakachue hii sredi bana.

Shem kumbe leo namwaga mapwenti eh? Nimeamkia ubavu wa kushoto ndo maana...LOL
 
Back
Top Bottom