Marketer with B.Com (Accounting) looking for a Job

Boreless

Member
Aug 25, 2009
61
39
Wanajamii,

Ninatafuta kazi ya Marketer (freelance au full employment) katika kampuni za kibiashara. Nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hii na nina mahusiano mazuri na sekta binafsi pamoja na sekta za umma.

Matarajio yangu hayako katika mshahara bali mafanikio katika kazi niipendayo.

Kama unanihitaji tafadhari nitumie PM
 
Back
Top Bottom