MARK II GRANDE -1980cc ipoje?

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Wadau nataka kuongeza kagari kakupiga misele hapa mjini. Maana BIGHORN inanifilisi na wese lake na pia haiuziki. Nimeona MARK II - GANDE 1980 cc inavutia mwenye kuijua kwenye ulaji wa mafuta na spea vp?
 
asante ndg. Ronis, nimeona moja kwa 2,300 USD CIF ngoja niichangamkie
 
nimechek calculator ya TRA nitalipia kitu kama 6.5m ikifika bongo. Kuliko ningechukua VITZ ya 2011/12 ambayo inauzwa 1,900 USD japan na hapa nalipia 12,000,000 TSH. ikifika hapa. Bora nichukue MARK II
 
Mkuu una maana utalipia 6.5m kwa hiyo grande two ambayo inauzwa dola 2300?
 
Wadau nataka kuongeza kagari kakupiga misele hapa mjini. Maana BIGHORN inanifilisi na wese lake na pia haiuziki. Nimeona MARK II - GANDE 1980 cc inavutia mwenye kuijua kwenye ulaji wa mafuta na spea vp?
Mark 11 grande inatumia angalau kilomita 10 kwa Lita 1 kama unasafiri,lakini kwa mishemishe ya mjini inakadilia kilomita 7 au 6 kwa lita, Mimi nina Cresta 1g kavu, pia nina Bighorn 3.0 turbo diesel 4jx1 engine, bighon yangu inakula mafuta vizuri sana kuliko hiyo Cresta, hii bighorn kwa mishemishe ya mjini kwa kweli inatumia kilomita 10 hadi 11 kwa Lita, ninaposafiri inatumia kwenda kilomita 12-13 kwa Lita 1 nikiwa na air condition on. Nikiangalia hapo labda kama una Bighorn ya petroli V6 kweli inakula mafuta, ila kama ni diesel 3.1 turbo 4jg2 bola endelea kuendesha bighorn kuliko Mark 11, maana hiyo mark 11 ninavyofahamu agiza ambayo haina engine ya 1g. Kama itakuwa 1g basi ulaji WA mafuta ni sawa na Cresta yangu,utakuwa hujasave kitu, bora u shift kwenye premio au gari ambazo hazizidi 1500cc.
 
nimechek calculator ya TRA nitalipia kitu kama 6.5m ikifika bongo. Kuliko ningechukua VITZ ya 2011/12 ambayo inauzwa 1,900 USD japan na hapa nalipia 12,000,000 TSH. ikifika hapa. Bora nichukue MARK II

Mkuu hiz calculation za TRA unazipija vipi,Nataka kuagiza Toyota Runx ,maana wengi hawapo aware na hiz calculation.nataka kujua gharama za TRA kabda sijalipia gari lenyewe.
 
Ingia www.tra.go.tz kisha tafuta kisehemu kimeandikwa CALCULATOR &TOOLS weka details za gari watakuletea kiasi utakachopaswa kulipa gari ikifika TZ. Weka emergency ya 1000 USD hawaeleweki
 
Mark 11 grande inatumia angalau kilomita 10 kwa Lita 1 kama unasafiri,lakini kwa mishemishe ya mjini inakadilia kilomita 7 au 6 kwa lita, Mimi nina Cresta 1g kavu, pia nina Bighorn 3.0 turbo diesel 4jx1 engine, bighon yangu inakula mafuta vizuri sana kuliko hiyo Cresta, hii bighorn kwa mishemishe ya mjini kwa kweli inatumia kilomita 10 hadi 11 kwa Lita, ninaposafiri inatumia kwenda kilomita 12-13 kwa Lita 1 nikiwa na air condition on. Nikiangalia hapo labda kama una Bighorn ya petroli V6 kweli inakula mafuta, ila kama ni diesel 3.1 turbo 4jg2 bola endelea kuendesha bighorn kuliko Mark 11, maana hiyo mark 11 ninavyofahamu agiza ambayo haina engine ya 1g. Kama itakuwa 1g basi ulaji WA mafuta ni sawa na Cresta yangu,utakuwa hujasave kitu, bora u shift kwenye premio au gari ambazo hazizidi 1500cc.
Yenye 1980cc ina mashine ya 4s
 
Mkuu huyo mark II grand ipo vizuri sana kwenye ulaji wa mafuta na inatulia barabarani ila tatizo spare zake zipo juu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom