mark 2 gx 110 for sale 14 million tu

freemoney

Senior Member
May 21, 2012
109
6
mark 2 gx 110 ipo katika hali nzuri inauzwa sh 14 million, pia ipo rav 4 3door kwa 9 million, carina kwa 9 million. pia kwa anae itaji kununua anaweza kupata nafasiya kuyaona coz yote yapo apa dar  
 
Picha ni muhimu kwa matangazo mkuu
 
aliyekua serious anataka gari apige simu aje kuliona. 0716-369299
 
Mi nipo Mwanza kwahiyo nitoke mwanza hadi dar kuja kuona tu, kwani ukiweka picha humu unapata hasara gani. Weka picha uvutie wateja mkuu.
 
mark 2 gx 110 ipo katika hali nzuri inauzwa sh 14 million, pia ipo rav 4 3door kwa 9 million, carina kwa 9 million. pia kwa anae itaji kununua anaweza kupata nafasiya kuyaona coz yote yapo apa dar  

Duh! Kwa bei iyo ya GX 110 mkuu, sijui maana mtaani zinapatikana hata kwa 10m. Anyway, all the best mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom