Mario Puzo v/ James hadley chase

Mkuu acha tu kwa Odessa file na day of the jackal Fredrick F ni balaa, pembeni anakuja Sidney na DOOMSDAY na star waker -commander Bellamy.
Strange, some characters na hata phrases i could remember them decades later - can you forget for Vitos words(this way for a shroud) when given the assignment to eliminate the witnesses "It is not impossible but difficult and i believe iam the only one in the world who can do it"

kale kambilikimo kalikua noumer.kama sikosei kalifanikiwa kummaliza yule witness aliekua under heavy police protection,na mwishowe kakafanikiwa kumpindua yule kubwa la mafia na kushika usukani.
 
AshaDii, with this discussion, I see the need to increase my reading time.


Yeah... You have to. Najua with all the majukumu and stuff ni ngumu sometimes ku balance. Niki compare the way I read sasa na kale, siku hizi I rarely find time. maybe on weekends I can do 10-15 pages kama sina mda wa kutosha. But kama am in the mood, I go pages...
 
Siku hio naingia kwenye hii thread I had a long day and my urge ikanisukuma nisome threads za JF only to note ya kwanza kunivuta ni heading ya hii. Namshukuru Parrie for this useful thread. Genuienely sasa hivi ndio nimesoma comments ambazo ni za mwanzo na nilikuwa sijasoma. What I can say is....

Upande wa Ndahani kama kweli hujawahi soma kabisa JHC basi una bahati aisee... You have a lot in store ya kufurahia utunzi wa one of the BEST writters. Hilo naamini kwa wote waliopita hapa na hasa wale walio msoma Puzo watakubaliana na mimi kuwa kama you have enjoyed Puzo you will definately enjoy Chase.

The Boss for many reasons not one nikimsoma Puzo na nikifikiria writter huyo na vitabu vyake huwa sisahau kabisa kuwa you are among watu wanao mkubali. After all ninasoma Puzo siku zote but I never new the qoute "sum of all wisdom" till you mentioned it to me almost a year ago (time flies eeh? lol). Na pia hapo hapo lazim nikumbuke Azimio Jipya na ndio mana nilimtag kwa njia ya kum mention. AJ Pal hapa maliza kiu yako yote... hahaha!

Sun wu, nimebahatika kumsoma Harold Robbins... Splendid. Huwa sichoki kurudia vitabu vyake, na naungana na wewe ni one of the Great writers. Huwa natafuta sana vitabu vyake sababu sijasoma vingi na ni mwandishi wa kale vitabu vya adimu sana. So far vitabu vyake nimesoma ni kama 6 tu. I wish I could have access to another of his book. I know I made a promise to you kuwa nitamsoma Sheldon na nitowe my opinions ya uandishi wake ila unfortunately I have not fulfilled hio promise. Hata kimoja bado sina hivo hilo swala ni still pending...

Sure, real thanks AshaDii for connecting me to this, seems/hope hav something to take to the end!!

Nimegundua kitu kimoja! Sikutegemea I have lost some important details of the BOOKS!

Kwanza nilianza na Fools die then The Godfather .. These i read with details kabisa! Nikasoma The Sicilians ... vingine sikusoma simply sikuwahi kivipata ...etc! But I knew them expect .. nimeshangaa nilpo google kuona ... Omerta na The Family! Sikuwahi kujaa they exists ... Unaweza kuona nilipoteza truck kuanzia wapi or rather niliingia kwnye dunia nyingine ya kusoma vitu vingine kabisa ... hadi ulivyo tag juzi ...kuja kufufua maisha fulani hivi ...ha hah!

Kuhusu Godfather, the time I was reading i had all different perspectives from now! Nitasoma tena soon very soon ..Lol ! But uta note. Nilipokuwa na kusukuma sana unifafanulie kuhusu Puzo na some quotes ... ni kuwa sikukumbuka kuziona au kufikiria on that time, back THEN!!. So it was a surprise kuona kama ulivyokuwa unasema kuhusu The Godfather!!

Sikumbukagi words or phrases ... but .. I never forget MEANING, DEEP UNDERSTANDING and REASONING za issues mabalimbali au matukio!

Ninajua kuwa ni kweli kwa Puzo kulikuwa na kupambana/misuguano na maisha! Ilikuwa kushindana haswa na kwa kutumia mbinu mbalimbali. Nilipenda sana kwa kuwa ni kama alikuwa na particular formulas and some principles amabazo sometimes alikuwa kama ana dedicate na kutoa miogozo ...

...Ile quote yako ..sikukumbuka kuiona kama ilivyokuwa kwako ... lakini unaweza kuona... is like some kind of principle ya mapambano kwenye filed ... naelewa there was a lot of those things.

.. Sasa what happened ... baada ya huu uzi ? Nika google!! Sikuwahi in my life kufuatia kihivyo dhidi ya huyu bwana! Nimesoma hadi ...!!!

Then I wanted to ask you how did you come with the quote .. ... nika google tena..!!

and here it was ..Mario Puzo Quotes (Author of The Godfather)!!!!

Like a summary of everything!

AND the first one is!! "Never get angry. Never make a threat. Reason with people."

Hilo sio tatizo ... How many do they look the same or close ...MANY!! "Never hate your enemies. It affects your judgment."... "Keep your friends close, but your enemies closer" .... etc ..etc..!! Kwangu huu ni ugunduzi mkubwa!

UNDERSTANDING ya Human emotion to the extent ya kutoa ADVISE na kutengeneza Mitizamo kama hii to Me it tells a lot kuhusu muhusika. Na kiukweli it is a fast growing science of its own (Science of emotions). Kumbuka how I was like pushing you ..muelezee Mario Puzo...etc etc, I just wanted kujua hiki tunachokifanya sasa!!

I real believe, deeply believe that in deep understanding of human emotions there emerge of REAL LOVE! LOVE OF HUMANITY, LOVE OF THE FAMILY, LOVE OF A NATION etc ... REAL LOVE IS BEYOND HUMAN EMOTIONS!!!

ADII? To prove my hypothesis see how MARIO PUZO BELIEVED IN THE FAMILY!! See what he considered a Real Man etc!!

Just for the closing this post ..!!

"Never show anger at slight,Tell nothing. Earn Respect from everyone by deeds,not Words.Respect the members of your Blood Family.Gambling was Recreation,Not a way to earn a Living.Love your Father,your Mother,
your Sister but beware of Loving any other Woman than your Wife.And a Wife was a woman who bore your Children.And once that happened to You,your Life was Forfeit to give them their daily bread"

"A man who doesn't spend time with his family can never be a real man."

"We are a family, and the loyalty of the family must come before anything and everyone else. For if we honor that commitment, we will never be vanquished-but if we falter in that loyalty we will all be condemned."

"A man who is not a father to his children can never be a real man"

― Mario Puzo

So Please, it seem you have read the books more recently ... hebu niambie in your opinion sasa nafikiri will undersatnd closely does He look somehow kama qoutes zake?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu acha tu kwa Odessa file na day of the jackal Fredrick F ni balaa, pembeni anakuja Sidney na DOOMSDAY na star waker -commander Bellamy.Strange, some characters na hata phrases i could remember them decades later - can you forget for Vitos words(this way for a shroud) when given the assignment to eliminate the witnesses "It is not impossible but difficult and i believe iam the only one in the world who can do it"
"It is not impossible but difficult and i believe iam the only one in the world who can do it" ... Hah hah!!Sound very patriotic eh? ... Hawa askari wetu wa sasa ..kweli wana hii spirit!? Unajua nini mimi nashindwa kuelewa kuwa mtu ambaye anasimama ni elimu ile ya darasani/chuo bila hivi vionjo vya vitabu kama hivi anasonga mbele vipi? Elimu ya vyuo vyetu so dry ... cant apply in life .. lakini with this kind of reading unapata mahali pa kuanzia maisha etc!!
 
Wewe mleta mada unastahiki BAN kwa kuja kuficha mambo mazuri kama haya huku uwani.............

I don't know how to put it in right way kuwalinganisha hawa nguli
Nikitulia home ntatoa maoni yangu..........it take me back on those old days
 
Wewe mleta mada unastahiki BAN kwa kuja kuficha mambo mazuri kama haya huku uwani.............

I don't know how to put it in right way kuwalinganisha hawa nguli
Nikitulia home ntatoa maoni yangu..........it take me back on those old days

hahahahaha,samahani mh.sasa ningeiweka jukwaa lipi jamani
 
Kuna swali moja humu hatujajiuliza
watoto wa siku hizi hawasomi kabisa vitabu
wanakosa uhondo kwa kweli


Dah mkuu umesema kwel kabisa tunakosa uhondo..
Unajua nimekua nafatilia hii thread toka mwanzo na kwa kua nimesoma novel chache saana nikawa sina hata cha kusema but nimefurai watu wanavojiachia kutoa views zao si unajua tena uwanja wa nyumbani..But hey its not too late kwa wale wenzangu we can still catch up with our brothers n sisters..I hope in Future i can submit my views in this kind of topics
 
Hakika nimefurahi kusoma huu uzi. Ni wazamani lakini nimejifunza vitu vingi. Sikuwa hata na ufahamu wa hivi vitabu lakini sasa nimevutiwa sana. Nadhani mijadala kama hii ingesaidia kuwavutia vijana wengi kusoma vitabu. Ni ukweli kuwa elimu za darasani tu hazijengi maarifa yanayotakiwa kwa kijana. Can we come up with a well designed programme that will eventually inculcate reading habit to our youth especially students? Please let see your thoughts and contribution on this.
 
Back
Top Bottom